Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Makamanda mpo?
Mbona hata Mwenyekiti wako alisema kuwa "mkazane" uchaguzi si lele Mama! Au hukusikia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamanda mpo?
Msikilize huyo Lisu wewe kamanda uchwara. Achana na kila siku kufafnanisha fananisha.Mbona hata Mwenyekiti wako alisema kuwa "mkazane" uchaguzi si lele Mama! Au hukusikia?
Hahahaha Hahahaha umepaniki, relax! Kunywa maji. Si Chadema ilishakufa?Msikilize huyo Lisu wewe kamanda uchwara. Achana na kila siku kufafnanisha fananisha.
Kwani hujui?...Si Chadema ilishakufa?
Magufuli muoga muoga tu najua lazima atashindwa
Hawawezi kujikamata. Wauwaji walionekana wakimkebehi kuwa kajipiga risasi na kumvua ubunge na kukataza kwenda kumuona hospitaliMungu amlinde Tundu Lissu maana hata Sasa hamna hata mtu mmoja aliyekamatwa kwa shambulio la Tundu Lissu
Jipangeni acheni mishen tauni na lopolopo nyingi, chama dume hamkiwezi.Wewe ndio umejibu hapo ??
Jipangeni acheni mishen tauni na lopolopo nyingi, chama dume hamkiwezi.
Aminia sn mkuu....Pamoja ndugu yetu