Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Mungu amlinde Tundu Lissu maana hata Sasa hamna hata mtu mmoja aliyekamatwa kwa shambulio la Tundu Lissu
Hawawezi kujikamata. Wauwaji walionekana wakimkebehi kuwa kajipiga risasi na kumvua ubunge na kukataza kwenda kumuona hospitali
 
Jipangeni acheni mishen tauni na lopolopo nyingi, chama dume hamkiwezi.

Ni kweli CCM ni chama dume kwa haya mambo ya kugawana pesa kwa kujificha na kuzificha kwenye kofia

pesa ndani ya kofia.jpeg
 
Back
Top Bottom