Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza wa Lissu ni mzaha wa CHADEMA kwa Watanzania!

Dah mi mwenyewe niliwahi kuhoji sikupata jibu. Kuna mambo ni magumu kukaa akilini. Eti ikitokea Lissu kawa rais akapata changamoto zika athiri urais wake Salum Mwalimu ndo anakuwa rais wa JMT!
😀😆 kwa hili chadema hawakuwa makini
 
Sasa kama huyo Lissu mwenyewe watu wameona anafaa kuwa Rais wa Tz kwa sifa tu za kuibwatukia serikali ndio ushangae huyo mgombea mwenza wake? Hii michezo huwa haihitaji hasira,mie hata kipindi kile cha Lowassa sikuwahi kuamini kwamba et Lowassa serious anataka kuwa rais wa nchi.
 
..anatosha.

..ana elimu kuliko Edward Sokoine, au Rashid Kawawa.
Sijapenda mleta mada alivyo onesha ndugu Mussa Mwalimu hastahili kuwa makamu wa raisi bila kusema sababu za kusema hivyo.
Huenda kwa mtazamo wake ameona Ndugu Mussa Mwalimu hana haiba ya kuwa raisi ( he has no presidential personality), lakini mtazamo pekee siyo kipimo sahihi lazima atoe hoja kutetea mtazamo wake.
 
Ukweli ni huo kuwa ni mgombea wa Chadema, lakini hauondoi mapungufu ya Mwalimu na uwezo wake mdogo alio nao wa kuongoza nchi yetu na sio nchi ya Chadema...
Hujui ulisemalo. Dunia ya maarifa,ujuzi na performance siyo Elimu n.a. vyeti
 
Hebu thibitisha haya unayoandika hapa!
 
At least haongei broken english...
He can communicate direct with world leaders.
 
Mwalimu alikuwa ana masters degree alipoikomboa nchi..
 
We kenge una elimu gani?
 
Dah...CDM...hebu tuweni siriaz kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji15]
 

..Ofisi ya Makamu wa Raisi inahusisha wizara za Mazingira, na wizara ya Masuala ya Muungano.

..mimi nina imani Salum Mwalimu ana uwezo wa kuyamudu majukumu hayo.
 
..Ofisi ya Makamu wa Raisi inahusisha wizara za Mazingira, na wizara ya Masuala ya Muungano.

..mimi nina imani Salum Mwalimu ana uwezo wa kuyamudu majukumu hayo.
Ni kwanni VP huwa anapewa wizara za kichovu hivyo ?
 
akili yako ni kama ya nani mkuu?? Jitaje mwe yewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…