Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson afanya kampeni na watoto wadogo

Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson afanya kampeni na watoto wadogo

Wakivalishwa Chadema utamsikia Ndalichako waacheni watoto wasome.
 
Wanawajenga kuipenda CCM tangu utotoni. Hata wakiwa wakubwa huwaambii kitu juu ya CCM. Magwanda endeleeni kushangaa tu
Niliimba sana nyimbo za kukisifia chama cha mapinduzi utotoni, nilipoanza kujitambua nilijuta sana.
 
Katika hali ya kushangaza, wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameanza kufanya siasa za ajabu sana kwenye uchaguzi mkuu huu. Wameanza kutumia watoto wadogo kisiasa...
Watoto nao wana ushawishi kwa wazazi wao na kaka zao na dada zao.
 
Mgombea wa ubunge wa mbeya mjini kupitia CCM ameendelea kuwa kituko hapa jijini.

Baada ya kukosa mipango na mbinu za kuwashawishi watu kwenda kwenye mikutano yake ya kampeini amegeukia sasa kuwakusanya wanafunzi na kucheza nao ngoma.

Amefanya hivyo baada ya wananchi wa mbeya kususia mikutano yake hasa mara baada ya mgombea wa cdm kuzindua rasmi kampeini zake ambaye ni mh Sugu.

Hali ni mbaya sana upande wa wana kampeini wa ccm maana kila mtu sasa hivi anapita njia yake baada ya kusambaratishwa na kampeini makini za wana Chadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wana roho mbaya sana aisee, yaani wanamshauri agombee mbeya kupitia ccm?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani ya CCM kaka kuna watu kazi yao ni kuwapeleka wenzao chaka!! Kwa mfano kuna watu walidanganywa kwamba CDM ishakufa, chama kikuu cha Upinzani ati kitakuwa NCCR Mageuzi - sasa hivi wanajuta... wananchi wanawachapa vilivyo.
 
Na ndo maana mashuleni kuna masomo yanayousu politics mfano civics, general study. Ko apo wanaenda kusoma kwa vitendo.
 
Hivi hiki kidudumtu tulia ni nani hasa nchi hii. Kimetoa rushwa miaka yote 5 alafu kinawadharirisha watoto wadogo na ameachiwa na tume ameachiwa na polisi badala ya kukikamata na kukisweka ndani
 
Ndani ya CCM kaka kuna watu kazi yao ni kuwapeleka wenzao chaka!! Kwa mfano kuna watu walidanganywa kwamba CDM ishakufa, chama kikuu cha Upinzani ati kitakuwa NCCR Mageuzi - sasa hivi wanajuta... wananchi wanawachapa vilivyo.
Hata Mbatia aliwahi kulisema hili kuwa sasa KUB ndiyo inarudi NCCR baada ya kupewa green light na wapambe wa Jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hali ya kushangaza, wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameanza kufanya siasa za ajabu sana kwenye uchaguzi mkuu huu. Wameanza kutumia watoto wadogo kisiasa.

Watoto ambao walihitaji kulindwa na serikali dhidi ya kushiriki matendo wasiyokuwa na ufahamu nayo kama vile siasa za kampeni na manipuations za kisiasa, inashangaza kuona kuwa chama cha mapinduzi kimekuwa kikitumia watoto kwenye mikutano yake.

Tumeona, Mikutano ya Mgombea uraisi wa CCM ndugu Magufuli ikisheheni watoto wadogo.

Na wananchi wanalalamika badala ya watoto wao kwenda shule kusoma, wanaambiwa wao na walimu wao waahudhurie mikutano ya CCM.

Inashangaza zaidi, Majuzi hapa tumefiwa na rais mstaafu hayati Benjamin Mkapa hakuna agizo lolote kutoka serikalini la kutangazia watoto wasiende shule hata wale wa Dar ili wakamuage, lakini shule kwenye mikutano ya mgombea wa CCM huko Mwanza tunaelezwa kuwa zimesitisha masomo na kuwataka wanafunzi na walimu waende kwenye kampeni za Magufuli. Hii ni ajabu sana.

Hapa Chini ni video na picha za watoto kwenye mikutano ya CCM

View attachment 1562251

View attachment 1562258
Watoto wengi hawana tofauti na kunguru au fisi, wanavamia tu kila eneo bila hata mwaliko.
Nenda kwenye vigodoro hutawakosa.
Pengine hata wewe kama uliisha toka kwa shemeji yako na una mtoto au watoto hujui muda huu yuko wapi.
Anarudi amekula wewe unaona pouwa tu hujiulizi kala wapi na kwa nini.

MZAZI MCHUNGE MWANAO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto siku zote wamekuwa

Watoto siku zote wamekuwa wahanga wa chaguzi zinazokihusu chama hicho... Mwaka 1995 Reinfred Masaku aliingia katika mgogoro mkubwa baada ya kuongea kwa uchungu pale watoto wa shule waliopangwa barabarani waliosagwa na lori walipopoteza maisha na wengine kupata ulemavu hadi leo hii.
Hawajapata kukoma wala hawatakoma maana wenyewe wanawaita CHIPUKIZI!!!
 
Watoto wengi hawana tofauti na kunguru au fisi, wanavamia tu kila eneo bila hata mwaliko.
Nenda kwenye vigodoro hutawakosa.
Pengine hata wewe kama uliisha toka kwa shemeji yako na una mtoto au watoto hujui muda huu yuko wapi.
Anarudi amekula wewe unaona pouwa tu hujiulizi kala wapi na kwa nini.

MZAZI MCHUNGE MWANAO

Sent using Jamii Forums mobile app
Jr waalimu wanaopewa maagizo wakanywe na nani?
 
Wanawajenga kuipenda CCM tangu utotoni. Hata wakiwa wakubwa huwaambii kitu juu ya CCM. Magwanda endeleeni kushangaa tu
Lazima utakuwa na limited civic education! Mikutano ya kampeni ni mgombea kunadi sera zake kwa wapiga kura ambao umri wao ni kuanzia miaka 18.
Hao wagombea wakiwa wabunge na madiwani wanatakiwa kwenda mashuleni kutoa mifano ya demokrasia ya uwakilishi.
Hiyo ni coercion na haitakiwi kidemokrasia na kikatiba.
Pia 'upendo' au 'mahaba' hayo hayawezi kudumu kwa matendo ya CCM.
Nilicheza chipukizi enzi ya chama kimoja cha siasa, lakini leo hii 'mahaba' na chama hicho ni sifuri.
 
Wajumbe tunaendelea kuwachora tu wazee wanavyoaibika
Nalog off
 
Back
Top Bottom