Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliimba sana nyimbo za kukisifia chama cha mapinduzi utotoni, nilipoanza kujitambua nilijuta sana.Wanawajenga kuipenda CCM tangu utotoni. Hata wakiwa wakubwa huwaambii kitu juu ya CCM. Magwanda endeleeni kushangaa tu
Watoto nao wana ushawishi kwa wazazi wao na kaka zao na dada zao.Katika hali ya kushangaza, wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameanza kufanya siasa za ajabu sana kwenye uchaguzi mkuu huu. Wameanza kutumia watoto wadogo kisiasa...
Hakuna shiida Duniani kama kuwalazimisha watoto kuipenda CCMWatoto nao wana ushawishi kwa wazazi wao na kaka zao na dada zao.
Kuna watu wana roho mbaya sana aisee, yaani wanamshauri agombee mbeya kupitia ccm?huyu dada waliomshauri kugombea Mbeya wana dhambi kubwa! amemtwisha zigo zito mno hadi huruma.
Ndani ya CCM kaka kuna watu kazi yao ni kuwapeleka wenzao chaka!! Kwa mfano kuna watu walidanganywa kwamba CDM ishakufa, chama kikuu cha Upinzani ati kitakuwa NCCR Mageuzi - sasa hivi wanajuta... wananchi wanawachapa vilivyo.Kuna watu wana roho mbaya sana aisee, yaani wanamshauri agombee mbeya kupitia ccm?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mbatia aliwahi kulisema hili kuwa sasa KUB ndiyo inarudi NCCR baada ya kupewa green light na wapambe wa JiweNdani ya CCM kaka kuna watu kazi yao ni kuwapeleka wenzao chaka!! Kwa mfano kuna watu walidanganywa kwamba CDM ishakufa, chama kikuu cha Upinzani ati kitakuwa NCCR Mageuzi - sasa hivi wanajuta... wananchi wanawachapa vilivyo.
Watoto wengi hawana tofauti na kunguru au fisi, wanavamia tu kila eneo bila hata mwaliko.Katika hali ya kushangaza, wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameanza kufanya siasa za ajabu sana kwenye uchaguzi mkuu huu. Wameanza kutumia watoto wadogo kisiasa.
Watoto ambao walihitaji kulindwa na serikali dhidi ya kushiriki matendo wasiyokuwa na ufahamu nayo kama vile siasa za kampeni na manipuations za kisiasa, inashangaza kuona kuwa chama cha mapinduzi kimekuwa kikitumia watoto kwenye mikutano yake.
Tumeona, Mikutano ya Mgombea uraisi wa CCM ndugu Magufuli ikisheheni watoto wadogo.
Na wananchi wanalalamika badala ya watoto wao kwenda shule kusoma, wanaambiwa wao na walimu wao waahudhurie mikutano ya CCM.
Inashangaza zaidi, Majuzi hapa tumefiwa na rais mstaafu hayati Benjamin Mkapa hakuna agizo lolote kutoka serikalini la kutangazia watoto wasiende shule hata wale wa Dar ili wakamuage, lakini shule kwenye mikutano ya mgombea wa CCM huko Mwanza tunaelezwa kuwa zimesitisha masomo na kuwataka wanafunzi na walimu waende kwenye kampeni za Magufuli. Hii ni ajabu sana.
Hapa Chini ni video na picha za watoto kwenye mikutano ya CCM
View attachment 1562251
View attachment 1562258
Watoto siku zote wamekuwa wahanga wa chaguzi zinazokihusu chama hicho... Mwaka 1995 Reinfred Masaku aliingia katika mgogoro mkubwa baada ya kuongea kwa uchungu pale watoto wa shule waliopangwa barabarani waliosagwa na lori walipopoteza maisha na wengine kupata ulemavu hadi leo hii.Katika hali ya kushangaza, wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameanza kufanya siasa za ajabu sana kwenye uchaguzi mkuu huu. Wameanza kutumia watoto wadogo kisiasa.
Watoto ambao walihitaji kulindwa na serikali dhidi ya kushiriki matendo wasiyokuwa na ufahamu nayo kama vile siasa za kampeni na manipuations za kisiasa, inashangaza kuona kuwa chama cha mapinduzi kimekuwa kikitumia watoto kwenye mikutano yake.
Tumeona, Mikutano ya Mgombea uraisi wa CCM ndugu Magufuli ikisheheni watoto wadogo.
Na wananchi wanalalamika badala ya watoto wao kwenda shule kusoma, wanaambiwa wao na walimu wao waahudhurie mikutano ya CCM.
Inashangaza zaidi, Majuzi hapa tumefiwa na rais mstaafu hayati Benjamin Mkapa hakuna agizo lolote kutoka serikalini la kutangazia watoto wasiende shule hata wale wa Dar ili wakamuage, lakini shule kwenye mikutano ya mgombea wa CCM huko Mwanza tunaelezwa kuwa zimesitisha masomo na kuwataka wanafunzi na walimu waende kwenye kampeni za Magufuli. Hii ni ajabu sana.
Hapa Chini ni video na picha za watoto kwenye mikutano ya CCM
View attachment 1562251
View attachment 1562258
Jr waalimu wanaopewa maagizo wakanywe na nani?Watoto wengi hawana tofauti na kunguru au fisi, wanavamia tu kila eneo bila hata mwaliko.
Nenda kwenye vigodoro hutawakosa.
Pengine hata wewe kama uliisha toka kwa shemeji yako na una mtoto au watoto hujui muda huu yuko wapi.
Anarudi amekula wewe unaona pouwa tu hujiulizi kala wapi na kwa nini.
MZAZI MCHUNGE MWANAO
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima utakuwa na limited civic education! Mikutano ya kampeni ni mgombea kunadi sera zake kwa wapiga kura ambao umri wao ni kuanzia miaka 18.Wanawajenga kuipenda CCM tangu utotoni. Hata wakiwa wakubwa huwaambii kitu juu ya CCM. Magwanda endeleeni kushangaa tu
Hiyo ni mwaza mkuu Leo hii kirumba sio Mbeya