Uchaguzi 2020 Mgombea urais anatoa vitisho kwa wananchi, NEC shughulikieni hilo

Magufuli akirudi ikulu,naamini watanzania tutageuka kivutio Cha utalii,yaana badala ya wazungu kwenda Serengeti,mikumi na Ngorongoro watakuwa wanakuja mitaani kushaangaa watanzania ni watu wa aina gani? Mtu mwenye akili unawezaje kuongozwa na hiki kituko kwa miaka 10?
 
Kwa hili utagundua kuwa hii ni tume ya kuhakikisha jiwe anatangazwa mshindi. Si ni tume yake aliyoichagua meenyewe?
Tume ni chombo huru haipokei maelekezo kutoka kwa mtu yyte inafanya kazi zake kwa mujibu wa Sheria hakuna aliyeko juu ya Sheria. Tume hoyeee...
 


Hiyo miradi yenyewe utadhani pesa inatoka mfukoni mwake na sio kutoka hazina.
 
KWA KWELI MUDA WA KUMPUMZISHA MAGUFULI UNAKARIBIA KWA KASI SANA.

Kauli gani hizi za kibaguzi? Kwani maendeleo anayaleta kutoka hela za mfukoni mwake?
Kwani wananchi wanaochagua upinzani hawalipi kodi kwa ajili ya kupata maendeleo yao bila kujali wamemchagua nani?

Inasikitisha sana kuona mtu wa kauli kama hii eti ndiye Rais wa nchi. Hajitambui kabisa
 
Kama wanaochagua upinzani hawapati miradi ya serikali kuna haja gani ya kuwa na vyama vingi, kwanini tupige kura.

Mantiki inaelekeza kuna la kufanya kabla ya vyama kushiriki uchaguzi.

Alichosema mkuu mgombea ndio ukweli wa kimantiki kutokana na chama chake.

Lakini ni nani wa kuhamasisha umma kukataa hali hiyo na kufanikiwa? Na sisi wenyewe wengi wetu ni bora leo nimetuliza njaa yangu!
 
Haya nayo yatapita. Mungu mkubwa miaka mitano sio mingi kiviile....
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu!kauli za kishenzi kabisa.....jitu limezeeka lakini bado halina hekima !kwani Jiwe hakuna alichokifanya tangu 2015 JIWE AMEFANYA WIZI NA MAUAJI YA RAIA WASIOKUWA NA HATIA
 
Hivi kwanini awamu hii unapenda sana visasi, kugawa wananchi, ukanda, ukabila umekomaa mno kipindi hiki.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnataka iwe Ccm tu bungeni mkakae wenyewe mnaanze kufitiniana wenyewe tuuuuu, kati ya wajinga wote wa ccm wewe unezidi[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Tunaishi kwa kupewa vitisho kila kukicha na kibaya zaidi tunaambiwa kuwa, tusikosee kuchagua. hapa ndio naona kuna haja ya mabadiliko
 
Andamaneni sasa mbuzi nyie

Kamtu kamoja kana ID tano kanaanzisha uzi na kujijibu
Bora wapinzani ni mbuzi lakini wanafanya mambo kama binadamu kuliko nyinyi binadamu lakini mnaishi na kuwaza kama mbuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…