Samia kakuona subiria teuziMgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Jimmy Kibonde, amesema endapo atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, atamwacha Rais wa sasa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya serikali yake kwa nafasi maalumu ya kushughulikia diplomasia.
Kibonde, ambaye amezungumza kupitia kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV, amesema amegundua Dkt. Samia ni mwanadiplomasia mahiri, hivyo atamkabidhi jukumu la kuongoza dawati maalumu litakalokuwa na idara tatu zinazoshughulika na masuala ya kisiasa, kiuchumi na ya kimataifa.
βNimesema nikishinda urais, Mama Samia nitamwacha Ikulu. Nimegundua Mama Samia ni mwanadiplomasia mzuri mno. Kwenye diplomasia ya kisiasa, kiuchumi na mambo ya nje yuko vizuri. Kwa hiyo atakuwa mkuu wa dawati maalumu katika serikali yangu. Asiwe na presha, ajira nimeshamuahidi,β amesema Kibonde.
Yaani hawa ndiyo washindani wa Samia kwenye uchaguzi wa mwaka huu View attachment 3438558
Bas tuMgombea wa Urais kupitia Chama Cha Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
Hata simjuiNi wa chama gani huyo
Vyama shikizi kweny ubora wao!!Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
Siasa ni sayansi, hata ustaath Chalamila analijua hilo bwasheeRC mtarajiwa
Siasa ni sayansi ππ
uHivi vyama pandikizi ndivyo vinavyoharibu demokrasia hapa nchini, kwa kweli CCM ni adui wa haki kwa kila Mtanzania.
Acha kabisa πUkitaka kucheka unalia ukitaka kulia unacheka, nchi haieleweki
CHADEMA ambacho mnataka kukiua makusudi kwa sababu ni tishio kwenuVyama visivyo pandikizi ni vipi?
u
Hapo tatizo liko wapi, au mmezoea hizo siasa za kufokafoka, za chuki, fitina, uhasama, visasi, za matusi. Hiyo ndiyo siasa za kistaarabuKuna vitu vinashangaza sana.
Huyu mtu ni mshindani wa Samia au mpiga kampeni wake?
Yani sijawahi kuona mpinzani ambae badala amwage sera zake yeye ni fully kumsifia mshindani wake?