Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia Makini, Coaster Jimmy Kibonde amesema akishinda urais, atampa kazi Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mkuu wa Dawati la Diplomasia la Ikulu.
Ameyasema hayo Agosti 11, 2025 katika mahojiano yake na Clouds TV jijini Dar es Salaam.
View attachment 3438844ema ha