Zipo taarifa,zipo wapi? Picha uliyopatiwa? Memo uliyopewa?Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
Kama hawa ma DED watakubali maelekezo ya mteuzi wao ambaye ni mgombea na baadaye uchaguzi ukaharibika na kupelekea fujo na upotevu wa uhai wa watu, damu itakuwa juu ya vichwa vya wale majaji wa mahakama ya rufaa waliobadilisha maamuzi ya mahakama kuu na kuwarudisha hawa ma DED kusimamia uchaguzi mkuu.Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mahakama ya Rufani hilo linawahusu.
Kuna Chombo cha HAKI kiliwaondoa WAKURUGENZI wa HALMASHAURI kwenye Usimamizi wa Uchaguzi ili KUONDOA "conflict of interest"
Sasa Mgombea anafanya mazungumzo ya Siri na Wasimamizi wa Uchaguzi.
Jamani!!!!
Wagombea WENGINE watapata HAKI YAO?
MSINGI WA AMANI UNALINDWA KWA UTARATIBU HUO?
TUME YA UCHAGUZI NA MAHAKAMA AMANI YA TANZANIA IPO MIKONONI MWENU.
Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
Acheni kutapatapa, mmeshapigwa mnatafuta visingizio
"Ma DED wote wapo kwenye Vituo Vyao vya Kazi hakuna aliyeitwa Dodoma...
Nimeona Uongo Ukisemwa Sana Huwa Unageuka kuwa Ukweli ' Lissu amewadanganya wana Musoma Katika Mkutano Wake wa Hadhara Tarehe 26/09/2020! " Jimson Mhagama DED wa Nyasa
Miaka karibu 60 baada ya uhuru!
Safari hii tuondoke na vichwa vya ma DED wa kutosha! Shenzi kabisa!Rejea Uchaguzi wa serikali za mitaa jinsi huyu Pombe alivyowaita wakanywa chai Ikulu halafu wakavuruga uchaguzi.
Sasa anataka kuharibu na uchaguzi mkuu... Atajuta kuvimba mashavu na madawa anayomeza daily.
Akiota na Nani? Ama na bibi yako wa kambo?Umezitoa wapi hizo taarifa kama huo siyo umbeya tu. Ikifika asubuhi ndipo utagundua kuwa ulikuwa unaota tu.
Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
Mwambie mgombea wenu kuwa watu hawadanganyiki na ahadi zake, mwambie bado tunaimani kubwa na Magufuli pamoja na cha cha mapinduzi na tar 28 tuthibitisha hilo.
Hakuna kitu kinachokera na kuuzi kama Manguvuli kurudi tena kutawala
"Tutatumia dola kubaki madarakani" Hii lugha si ya mzaha huyu ni miongoni mwa maafisa waandamizi Lumumba. Ule ujinga serikali za mitaa unataka kujirudia Lissu waambie Watanzania tuendelee kukusanya hasira.Dereva wa gari ndo mmiliki wa gari na injini ikiwemo.nyinyi abiria tu, kazi yenu kupiga kelele kwenye safari,mkishtuka gari ishafika mwisho.
Comrade, "misukule" ukimaanisha wananchi wenye sifa za kupiga kura, waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura na wenye kadi ya mpiga kura basi upo sawa kabisa maana misukule sisi kwa umoja wetu tutamchagua kwa wingi Rais Magufuli ili ashinde kwa kishindo.Niamini mimi, ni misukule pekee itakayomchagua magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Magufuli ni mvunjaji sheria mzoefu na anajua wanaomzunguka wanamuogopaZipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
View attachment 1582153
Uzuri safari hii wananchi tunamsikiliza TUNDU LISSUHiyo lazima ndani ya week ya mwisho wa kampeni lazima Siro na Mabeyo wafanye press conference zinazo tishia raia hivyo upinzani wajipange namna ya kuneutralise.
Mtu wa ajabu sana,hatukutegemea kama angekuwa mtu wa ajabu ajabuBora hata tungetawaliwa na shetani walau maisha yangekua na unafuu! Ila siyo huyu dikteta uchwara.
Comrade, "misukule" ukimaanisha wananchi wenye sifa za kupiga kura, waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura na wenye kadi ya mpiga kura basi upo sawa kabisa maana misukule sisi kwa umoja wetu tutamchagua kwa wingi Rais Magufuli ili ashinde kwa kishindo. View attachment 1582152