Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Wewe uko hapo buza kwa lulenge huwezi jua miti inapandwa wapi!Umepanda miti wapi??? Hivi unajua suala la uharibifu wa mazingira lilivyo critical saivi Tanzania????
Hilo bwawa linajengwa kwenye kaeneo kadogo sana katika maelfu ya maeka yenye miti katika nchi hii!
Hao wazungu wenu wanasema mazingira mbona huko kwao wameharibu mazingira kwa moshi wa viwandani mbona kwanza hawafungi viwanda ili kudhibiti hilo?
Huko mashambani wenzio tumeotesha maelfu ya miti, kwahiyo huo mradi hautaathiri chochote.