Wewe uko hapo buza kwa lulenge huwezi jua miti inapandwa wapi!Umepanda miti wapi??? Hivi unajua suala la uharibifu wa mazingira lilivyo critical saivi Tanzania????
Ngoma bado mbichi mno ! halafu kwa mtu wa kisasa kutegemea mbeleko ni aibu mno !Umedhibiti wapi?
Huku sisi 20 nyie 0
Nani kadhibitiwa hapo?
Subiri oktoba mkipata wabunge 10 mshukuru
Nyie maCCM ni majinga ya kutupa, mwenzenu anaposema anataka kufanya Chato kuwa kama Ulaya ana maana Ulaya gani?Yaani anajiropokea vitu ambavyo avielewi kabisa amekaa ulaya na kuona mambo kadhaa anadhani na Tanzania inaweza fanikisha kirahisi hivi anafahamu universal health credit inavyochangiwa kweli au anajiropokea tu.
Aisee Lissu leo kawavuruga vibaya sana mataga!!! Hadi mnatia hurumaHaha lisu bwana anaulizwa Uhuru upi unaouzungumzia??
Anashindwa kujieleza.
Hilo liliwahi kusema Lisu amepata wafuasi miloni 80 baada ya kuhojiwa hardtalk.Hapo ufipa ndio wewe unaona dunia nzima? Mimi nipo hapa Tanzania Sina habari na huyo mpayukaji ndo msumbiji wamwangalie kwa lugha gani?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kwa mara ya kwanza ITV inaangaliwa dunia nzima
Sasa wewe unawaza ngono tu, ndio unategemea utamsaidia Lisu kushinda kweliHuwa naona kinyaa hata kugusa k ya mwanamke aliyembovu kichwani
Jibu swali langu!! Unajua hali ya uharibifu wa mazingira ipo critical kiasi gani kwa Tanzania??? Au swali langu limekuzidi uwezo???Wewe uko hapo buza kwa lulenge huwezi jua miti inapandwa wapi!
Hilo bwawa linajengwa kwenye kaeneo kadogo sana katika maelfu ya maeka yenye miti katika nchi hii!
Hao wazungu wenu wanasema mazingira mbona huko kwao wameharibu mazingira kwa moshi wa viwandani mbona kwanza hawafungi viwanda ili kudhibiti hilo?
Huko mashambani wenzio tumeotesha maelfu ya miti, kwahiyo huo mradi hautaathiri chochote.
Aisee Lissu leo kawavuruga vibaya sana mataga!!! Hadi mnatia huruma
nimependa utulivu wa LIsu aliouonyesha
Hakika !ITV wanataka kumuita tena maana umati ulioangalia hicho kipindi leo umevunja rekodi.
Halafu tunaomba madaktari watusaidie , hivi kwanini sukari ikipanda akili inaruka ?Mpaka Kilatha sukari imepanda.
Yani unapima kiwango cha uharibifu wa mazingira tz kwa kumsikiliza mzungu kule marekani?Jibu swali langu!! Unajua hali ya uharibifu wa mazingira ipo critical kiasi gani kwa Tanzania??? Au swali langu limekuzidi uwezo???
Unasema nizunguke nijionee??? Basi tuzunguke wote!Yani unapima kiwango cha uharibifu wa mazingira tz kwa kumsikiliza mzungu kule marekani?
Zunguka ndugu ujionee!
Kingine nmeshakwambia hilo bwawa likikamilika litatoa umeme wa bei nafuu kisha mnaotumia mkaa mtaacha na kuanza kutumia umeme, na hapo mamilioni ya miti inayokatwa kwa ajili ya mkaa itapona na mzingira yataendelea kustawi.
Magufuli kwa miaka 5 yote kila asimanapo lazima agusie ngono na ndiye mgombea wako.Sasa wewe unawaza ngono tu, ndio unategemea utamsaidia Lisu kushinda kweli