Niseme maneno haya tu!
Nimemsikiliza Tundu Lissu kuanzia mwanzo hadi mwisho. Nikiri tu. Lissu sio wa sayari hii!!!
Lissu ni zaidi ya Raisi. Leo hadi nimewish kipindi kisiishe. Watanzania kwa mara ya kwanza tumepata the right candidate!
Tundu Antiphas Lissu, nakuita tena Tundu Antiphas Lissu, shkamoo!!!!
Kura yangu umepata!!! Huyu jamaa ni akili sahihi ya kuipeleka nchi yetu mbele. Narudia tena!! Shkamoo Lissu
Atamke Mara ngapi alushasema watumishi waendee kusuburi!
Uyu jamaa ni Nina nimeshangaa kipindi kinaisha naambiwa nadaiwa bia 7 nisijui hata nimezinywa vipi
One of the best shows I've seen so far in 2020
Kwa kweli ameongea kwa utulivu sana Leo hongera kwake.Sasa tunamsubiria rais wetu mpendwa nae amwage maneno
Miaka mitano Magufuli kawalisha ugali kwa shubiri, bado mna matumaini?. Subirieni mingine mitano ya kusaga meno, maana atatangazwa na kuapishwa.Kumsikiliza Lissu ili iweje sasa. Bora Magufuli anaweza akatamka neema kwa wafanyakazi, wamachinga, boda boda na mama ntilie.
Mwambieni John na yeye aende akachokozewe mada na huyo mama, kwani kuna tatizo?Ha
HaYa nimahojiano? Au nikampeni kupitia vyombo vya habari? Maana huyu mama mtangazaji hamuhoji tundu lisu badara yke anachokoza mada tu!
Alitakiwa aulize umeme wa maji, jua, gesi, upepo . Niupi wenye gharama nafuu??
Walau aongei mambo ya kipuuzi kama Lissu hajui hata maana ya budgeting limiting factor yeye kila kitu atafanya na kuna mijitu ina amini; hizo hela atatoa wapi. Hata condition za kupewa mikopo na donors pia afahamu anaropoka tu.
Tundu Lissu is sick
Kuna watu huwa wanakuja kwa mtindo wa kejeli mara nyingi huwa nawapotezea...kaka inawezekana una hoja lakini uwasilishaji wao una mushkel.
..usiruhusu maneno mabaya yafunike hoja yako. changia kwa ustaarabu.
Kuna watu huwa wanakuja kwa mtindo wa kejeli mara nyingi huwa nawapotezea.
Ukiona kuna lugha ya ovyo ovyo kwenye post yangu most likely ninaye mjibu alikuja kwa mtindo huo.
Lakini uwezi kuona majibu ya ovyo ninapopishana mtazamo na civilised JF contributors kama members sijijui et al.
Let me investigate if that’s the case, I will have to control that bad habit in the future if the allegations are backed with evidence...mimi naona kila hoja inayomhusu TL unachangia kwa matusi.
Ameshazitamka hizo neema?Kumsikiliza Lissu ili iweje sasa. Bora Magufuli anaweza akatamka neema kwa wafanyakazi, wamachinga, boda boda na mama ntilie.