jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,839
- 2,963
Niseme maneno haya tu!
Nimemsikiliza Tundu Lissu kuanzia mwanzo hadi mwisho. Nikiri tu. Lissu sio wa sayari hii!!!
Lissu ni zaidi ya Raisi. Leo hadi nimewish kipindi kisiishe. Watanzania kwa mara ya kwanza tumepata the right candidate!
Tundu Antiphas Lissu, nakuita tena Tundu Antiphas Lissu, shkamoo!!!!
Kura yangu umepata!!! Huyu jamaa ni akili sahihi ya kuipeleka nchi yetu mbele. Narudia tena!! Shkamoo Lissu
Kura zote Watanzania kwa Tundu Lissu. Huyu mtu ni katumwa na Mungu kutukomboa eti. Hii si kawaida. Kaja muda sahihi kabisa.