Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Kwa kitu gani cha maana alichoongea wewe umenyimwa uhuru wakuabudu Lissu anao pigania.
Ilikuwa path ya kuongelea uhuru wa kiuchumi ambao unakuathiri ww maskin unaitwa mnyonge na familia yako,kwny maongez hatuchambui kila kitu ila tunaangalia contents zinazooengekewa,ss kama ww uliona tu kaongelea uhur wa kuabudu nakushauri urud shule ya memkwa itakusaidia
 
Neema yeye ni Mungu. Hivi mbona mnapenda sana kuabudu masanamu?? Siku tutakapokuwa tunamzika kama Mkapa ndio mtajua kuwa kumbe alikuwa ni mwanadamu tu.

Tanzania ameikuta na ataiacha!
Bravo, 🙏 👍
 
Lisu anazungumza kwa utulivu sana namwangalia hapa ila jamaa kumbe mguu hawezi kuukunja tena dah alaaniwe mtu au watu waliompiga risasi maisha yao yote na vizazi vyao visipate furaha maishani mwao
Nyumbani mwao waliompiga risasi asikosekane mtu anayeugua kisonono,kaswende,na hata ukimwi.

Wenyewe wakojoe dagaa mpaka siku yao ya kufa itakapofika wanaharamu,mabaradhuli wakubwa hawa
 
Hakukuwa na complicated terms nor jargon za uchumi matter of sidhani ata kama anazijua kila kitu plain and obvious in word for word translation.

Ameshikiria hoja ya uhuru for almost half an hour of his 45 minutes interview. Hakuna kingine anachoweza kuongelea au haya kukijua in depth sasa ataisaidia vipi familia yangu mtu kama huyo wakati hakuna la maana analoongea.
 
Hata mimi nimeelewa point nzuri za Lissu zikifanyiwa kazi zitawanufaisha wengi, mfano kuruhisu taasisi za Dini ziwekeze kwenye elimu na mahospital hapo tayari umeongeza ajira kwa wingi, sekta binafsi kama supermarkets za nguvu za kufanya kazi usiku na mchana tayari zitaongeza ajira, machinga kuwa na majengo stand ya kufanyia biashara hizo pia niajira, bado katiba mpya itayowapa wananchi mamlaka ya kutengeneza taasisi za serikali imara na watu kuwajibika na kuwajibishwa.
 
Nakuweka kweny kund la watu wenye tunaowaita weak minded ambao uwezo wao n kujadili tu ideas,ww uhuru wa uchumi kwa wakulima ambao ni sector inayowaajir watz wengi hujauona,?mtu una mpunga wako au pamba ambayo ipo store kwa kukosa soko la ndani,lkn Kenya or Uganda wana uhitaji mkubwa wa zao hilo,cha ajabu serkal inaamua kukuzuilia kuuza mazao hayo angali hawajachangia chochote kuanzia kupanda hadi kuvuna,kwa akili yako unaona fairness kweny hili?think big brther
 
Hakuna kisichowezekani maadam hii gas Mungu aliiweka Tanzania alijua itafika muda nayo.
Kwani hapo Qatar waliwezaje bwana
 
Narrow mind!

Nyie ndo mnaochangia watoto kizazi hiki wanakuwa mbumbumbu!
 
Lakini Magufuli alikuwa kwenye serikali ile ile iliyonegotiate hiyo mikataba mibovu ya gas ???
 
Even if they were not shared it was obvious that they were not for public interests
How can you blame Magu then for not intervening on contracts he hasn’t seen nor having the power to stop given his government position at the time.
 
How can you blame Magu then for not intervening on contracts he hasn’t seen nor having the power to stop given his government position at the time.
He should have shown his stance publicly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…