jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Ina maana kachoka kujificha Sasa na yeye anataka Mambo hadharani!?Kwa kitu gani cha maana alichoongea wewe umenyimwa uhuru wakuabudu Lissu anao pigania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana kachoka kujificha Sasa na yeye anataka Mambo hadharani!?Kwa kitu gani cha maana alichoongea wewe umenyimwa uhuru wakuabudu Lissu anao pigania.
Ilikuwa path ya kuongelea uhuru wa kiuchumi ambao unakuathiri ww maskin unaitwa mnyonge na familia yako,kwny maongez hatuchambui kila kitu ila tunaangalia contents zinazooengekewa,ss kama ww uliona tu kaongelea uhur wa kuabudu nakushauri urud shule ya memkwa itakusaidiaKwa kitu gani cha maana alichoongea wewe umenyimwa uhuru wakuabudu Lissu anao pigania.
Well kuna mtu mpaka sasa kazuiwa kuabudu?Ina maana kachoka kujificha Sasa na yeye anataka Mambo hadharani!?
Bravo, 🙏 👍Neema yeye ni Mungu. Hivi mbona mnapenda sana kuabudu masanamu?? Siku tutakapokuwa tunamzika kama Mkapa ndio mtajua kuwa kumbe alikuwa ni mwanadamu tu.
Tanzania ameikuta na ataiacha!
Nyumbani mwao waliompiga risasi asikosekane mtu anayeugua kisonono,kaswende,na hata ukimwi.Lisu anazungumza kwa utulivu sana namwangalia hapa ila jamaa kumbe mguu hawezi kuukunja tena dah alaaniwe mtu au watu waliompiga risasi maisha yao yote na vizazi vyao visipate furaha maishani mwao
Hakukuwa na complicated terms nor jargon za uchumi matter of sidhani ata kama anazijua kila kitu plain and obvious in word for word translation.Ilikuwa path ya kuongelea uhuru wa kiuchumi ambao unakuathiri ww maskin unaitwa mnyonge na familia yako,kwny maongez hatuchambui kila kitu ila tunaangalia contents zinazooengekewa,ss kama ww uliona tu kaongelea uhur wa kuabudu nakushauri urud shule ya memkwa itakusaidia
Nakuweka kweny kund la watu wenye tunaowaita weak minded ambao uwezo wao n kujadili tu ideas,ww uhuru wa uchumi kwa wakulima ambao ni sector inayowaajir watz wengi hujauona,?mtu una mpunga wako au pamba ambayo ipo store kwa kukosa soko la ndani,lkn Kenya or Uganda wana uhitaji mkubwa wa zao hilo,cha ajabu serkal inaamua kukuzuilia kuuza mazao hayo angali hawajachangia chochote kuanzia kupanda hadi kuvuna,kwa akili yako unaona fairness kweny hili?think big brtherHakukuwa na complicated terms kila kitu ni plain obvious in word for word translation.
Ameshirikiria hoja ya uhuru for almost half an hour of his 45 minutes interview. Hakuna kingine anachoweza sasa ataisaidia vipi familia yangu wakati hakuna la maana analoongea.
Hakuna kisichowezekani maadam hii gas Mungu aliiweka Tanzania alijua itafika muda nayo.Tatizo lenu ni mkishasoma vinakala au data za largest producers of things google mnadhani mambo ni rahisi kweli kwenye biashara bila ya ufahamu wa nitty gritty aspects of what makes things the way they are.
Ni story ndefu kuanza kukufanulia why Tanzania is not Tunisia the biggest gas exporter in Africa let alone comparing ourselves with Qatar yenye capital ya ku invest in modern LNG plants huko west ili tu wapate access ya market na waendelee kuuza Gas in additional to other complicated strategies wanazotumia.
Nitakuweke vitu vya kufikiria ili kukujengea lines of reasoning maana nikisema niandike kukufahamisha ni report ya maneno 2000 hadi uelewe and usually I get paid to that not for free.
1 Qatar wana miaka mingi ya kuchimba Gas na shirika lao ni 100% state owned na hawana madeni.
2 Tanzania ndio kwanza inaanza kuchimba Gas gharama za offshore rigs, transportation (pipeline network), LNG plant; zote tunategemea muwekezaji.
3 Imagine mwekezaji katumia $33 billlion out of that $30 billion on LNG (upuuzi mnaoshadidia) na $3 billlion on offshore rig and pipeline network.
4 Kwenye hiyo hela ‘capital structure’ internal capital ni $10 billion and the remaining $23 billion was raised from market sources with interest of 7% for 30 years.
5 Operation cost za LNG plant let’s assume ni $2 billion annually including shipping.
6 Moja ya kipengele cha mkataba wa mafuta kinahusu ‘commercial’ ambapo bei ya Gas duniani ina detect upataji wako.
I) Now imagine umeingia mkataba ambao kuna $10 billion ya kulipa kwa miaka 30
ii) kuna $23 billion with 7% ya kulipa kwa miaka 30
iii) operation cost za $2 billion za kulipa
iv) zikishatoka hizo gharama ndio mgawane faida na kilichobaki let’s assume miaka 30 ya mwanzo mwekezaji anachukua 70% na wewe 30%. Na hapo bei ya soko ikishuka profit ikiwa chini yeye lazima apate kwanza sio wewe maana anakulipa kodi..........:
Sasa utaifananisha Tanzania na Qatar ambao wanamiliki Gas 100% hela yote wanayopata yao awana mmbia wa kumlipa wala bank.
Tatizo lenu ni kujiropokea mambo msiyo na ufahamu nayo na kuanza kutukana serikali ya Magufuli inayotafuta fair deal hamjui ata terms za mikataba yenyewe mnapayuka tu $30 billion imepotea unadhani ni hela ya zawadi.
Mtu kama Lissu ni kiazi anaetumiwa tu kutoa pressure kwa serikali wanajua ata kama ashindi uchaguzi anawasaidia serikali kukubali unfavourable terms za mikataba kutokana na social pressure anayosaidia kutoa.
Yeye mwenyewe Lissu hajui sabotage anayofanya halafu kuna mapoyoyo kama nyie mnaosifia upuuzi wake na ndicho mabeberu wanachotaka kupitia Lissu na Zitto kuwasaidia ku mobilise support ya watu ovyo kama wewe.
Pamoja na kutopendezewa yaliyomkuta Lissu kuna wasaa unaona kilichompta he asked for it.
Narrow mind!Hakukuwa na complicated terms nor jargon za uchumi matter of sidhani ata kama anazijua kila kitu plain and obvious in word for word translation.
Ameshikiria hoja ya uhuru for almost half an hour of his 45 minutes interview. Hakuna kingine anachoweza kuongelea au haya kukijua in depth sasa ataisaidia vipi familia yangu mtu kama huyo wakati hakuna la maana analoongea.
Kwetu huku Songwe umee umekatika(Naaumo )
Lakini Magufuli alikuwa kwenye serikali ile ile iliyonegotiate hiyo mikataba mibovu ya gas ???Tatizo lenu amsikilizi hivi tunafahamu juzi kupitia Dr Abbas alisema LNG plant itakuwa 8 trillion TZ sh badala ya $30 billlion Zitto na wapuuzi wengine waliokuwa wanashadidia nyuma ya pazia watu walikuwa wanafanya renegotiations ya mikataba mibovu bila ya kuacha utekelezaji mikakati ya kuongeza umeme.
Ebu watanzania tujifunze kuwa na shukran Magufuli is not perfect but he did damn good job in his first kuiandaa nchi kupaa kiuchumi kupitia infrustructure project.
But not in charge of affairsLakini Magufuli alikuwa kwenye serikali ile ile iliyonegotiate hiyo mikataba mibovu ya gas ???
Unakuta uyo ni msomi wa chuo kikuu.Nimemsikia mtu mmoja anasema "hatuwezi kutumia umeme wetu kuwatangaza watu wengine ati!!"
He was a minister but he did not show any dissentBut not in charge of affairs
Do you have any supporting evidence the contracts were shared for discussion in the cabinet meetings?He was a minister but he did not show any dissent
Even if they were not shared it was obvious that they were not for public interestsDo you have any supporting evidence the contracts were shared for discussion in the cabinet meetings?
How can you blame Magu then for not intervening on contracts he hasn’t seen nor having the power to stop given his government position at the time.Even if they were not shared it was obvious that they were not for public interests
He should have shown his stance publiclyHow can you blame Magu then for not intervening on contracts he hasn’t seen nor having the power to stop given his government position at the time.