Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

This is great
 
Haitokuja tokea
 

Kwa huyu Lisu, Nchi imepata mgombea urais bora sana kwa ustawi wa nchi yetu.
Usalama wa Taifa wanapaswa kumlinda sana huyu mgombea, ndio maana hata Magufuli amejikuta anatamka hadharani kuwa anatamani kuja kumpa kazi Lisu kwenye Serekali yake.
 
Wewe na nani maana mimi simchagui Jiwe bali Jabali.
 
Ona hili taahira nalo!

Akitukana ndio kura za Lisu zinaongezeka?

Hata hivyo ni kawaida yenu mkiishiwa hoja hukimbilia matusi. Yani mtu mzima bila aibu unataka mtu atukane?

Hizi ni akili au matope?
We kima huna hadhi wala akili ya kujibizana na mwanadamu anaejitambua
 
Ila sholo mwamba sio mzalendo kabisaaa, jana kampigisha magoti mzee meko na macho kafunga akijua wanaomba allah kumbe swaga za “singeli” kweli ushamba na ulimbukeni ni mzigo!
 
Watanzania bado kuwa watu uhuru amna maarifa ya kuchagua bado busara ni CCM kuendelea tu.

Yaani kabisa mtu na akili zake timamu anadhani Lissu anafaa kwa urahisi hii ni hatari as far as National security matters are concerned.
Ila sholo mwamba sio mzalendo kabisaaa, jana kampigisha magoti mzee meko na macho kafunga akijua wanaomba allah kumbe swaga za “singeli” kweli ushamba na ulimbukeni ni mzigo!
 
Kwa kitu gani cha maana alichoongea wewe umenyimwa uhuru wakuabudu Lissu anao pigania.
Kwanini wale Mashehe wa Uamsho wako ndani hadi hivi sasa?? Kama walitenda kweli makosa yale kwanini hawajahukumiwa hadi leo??
Kwanini Askofu Kakobe aliamriwa kwenda kuonyesha makaburi ya Wazazi wake??
 
Nilimkubali japo nilichelewa ahsanteni kwa kunishitua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…