Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
On what grounds if he did not know the terms of the contract?He should have shown his stance publicly
Wewe unaijua dunia bwashee?!Kwa mara ya kwanza ITV inaangaliwa dunia nzima
This is greatTurn and watch now.
Mgombea Urais wa Chadema Ndugu Tundu Lissu alipata fursa ya kuhojiwa na Mwandishi wa habari Bi. Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kinachofanywa na kituo cha televisheni cha ITV ambapo aliongea mambo yafuatayo:
Mwandishi wa Habari: Kwanini unataka kuchguliwa kuwa Rais wa Tanzania?
Tundu Lissu: Ninataka kuchaguliwa kuwa rais wa Tanzania kwa sababu ninaamini nina uwezo na nina nia ya kuirudisha nchi yetu katika misingi yake ya mwanzo, misingi yake ya uhuru. Tulipopata uhuru kauli mbiu yetu ilikuwa Uhuru na Kazi, Uhuru na Umoja, Uhuru na Maendeleo. Uhuru lilikuwa ndio neno letu la kwanza, ulikuwa ndio msimamo wetu wa kwanza, mambo mengine yote yalifuata. Na tunahitaji maendeleo lakini tunahitaji maendeleo tukiwa watu huru, tunahitaji maendeleo ya haki. Sasa huo ndio msimamo wangu, hiyo ndio sababu ambayo imenifanya niombe ridhaa ya Watanzania ya kuwaongoza katika kipindi hiki muhimu.
Mwandishi wa Habari: Hivyo ilikuwa ndoto yako siku moja kugombea urais wa JMT au kama ulivyoeleza kuwa suala la uhuru ndio maana unataka Urais wa JMT?
Tundu Lissu: Katika mazingira ya kawaida si jambo la ajabu kwa mtu yoyote yule ambaye ni Mwananchi na ni Mzalendo kutaka kuwa kiongozi wa hiki au kile, kuna nafasi nyingi sana za Uongozi, Urais ndio nafasi ya juu kabisa ya Uongozi na mimi kama Mwanasiasa, kama Mwanasheria, kama Mwananchi wa Tanzania nimekuwa nafikiria kwamba hivi nina uwezo kiasi gani wa kuwa rais wa nchi hii. Kwahiyo katika kujibu swali lako ni kwamba nilikuwa naifikiria. Lakini katika kipindi hiki cha Miaka mitano hicho nilichokuwa nakifikiria juu juu kimekuwa imara zaidi kwa sababu ya haya ambayo tumeona katika miaka mitano.
Mwandishi wa Habari: Kwa maana hiyo sasa ilani ya Chadema imejikita katika mambo hayo ya uhuru uliyoeleza?
Tundu Lissu: Ilani yetu inasema, Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu. Afrika Kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilikuwa na maendeleo m,akubwa sana ya mabarabara
Mzee baba huo muda wa kumjibu huyo jamaa bora ukatumike kujichua tu mkuu.Narrow mind!
Nyie ndo mnaochangia watoto kizazi hiki wanakuwa mbumbumbu!
[emoji16][emoji16][emoji16]as long as nafasi ipo ya kumjibu namhitback tu 'kiazi' huyo.Mzee baba huo muda wa kumjibu huyo jamaa bora ukatumike kujichua tu mkuu.
Hahah hamna noma mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16]as long as nafasi ipo ya kumjibu namhitback tu 'kiazi' huyo.
Si unajiita Messi?? Nimekuongezea jina la ww Lionel Messi wa lumumba..Kuna ubaya.?? [emoji1787][emoji1787]
Sisi Chadema tunatuma Maombi Maalum kwa Mgombea Urais wa CCM Mzee Daktari bingwa wa kemia duniani Bwana Magufuli Kukubali Kuwa na MDAHALO na Mgombea Urais Wa Chadema Kamanda Tundu Lissu ili Kushindanisha SERA na Mitazamo Yao kwa Nchi Yetu Live kwenye TV na Redio Zote za Duniana na Wananchi Wote Watasikiliza!:
Kazi ya Rais kwa watu wake ni kuonyesha matumaini na njia wapi na nini kifanyike kwa muda sahihi.
Ukimusikiliza Tundu Lissu utagundua kuwa ni mfariji na kiongozi.
Kwenye battle field yoyote Magu hamuwezi huyu jamaa. Tukubali au tukatae Lissu ni Level nyingine.
.
Nina uhakika huyu angelikuwepo miaka yote ya Utawala wa Magu hakika angeliwafungua wengi sana na watu wangelijua kuwa tuna Rais was aina gani.
Lissu - Kiongozi.
Magu - Mutawala.
kwakweli, japo dk45 zlikuwa chache, Lissu anaongea kwa facts na mawe ya hatari, jamaa anajua aisee.Kwa mara ya kwanza ITV inaangaliwa dunia nzima
Wewe na nani maana mimi simchagui Jiwe bali Jabali.Aliyofanya JPM yanayoonekana kwa macho
Hatuhitaji maneno mazuri bali maendeleo na JPM amethibitisha hilo
Oktoba 28 tutawapa fundisho la kuhistoria
Weledi wa kuongea una faida Kwenye kutongoza au usaili au uliwasolisha andiko au ukikusudia kuongea uongo
Maendeleo yanahitaji mtu mwenye nia na Mzalendo
We kima huna hadhi wala akili ya kujibizana na mwanadamu anaejitambuaOna hili taahira nalo!
Akitukana ndio kura za Lisu zinaongezeka?
Hata hivyo ni kawaida yenu mkiishiwa hoja hukimbilia matusi. Yani mtu mzima bila aibu unataka mtu atukane?
Hizi ni akili au matope?
Ila sholo mwamba sio mzalendo kabisaaa, jana kampigisha magoti mzee meko na macho kafunga akijua wanaomba allah kumbe swaga za “singeli” kweli ushamba na ulimbukeni ni mzigo!Aliyofanya JPM yanayoonekana kwa macho
Hatuhitaji maneno mazuri bali maendeleo na JPM amethibitisha hilo
Oktoba 28 tutawapa fundisho la kuhistoria
Weledi wa kuongea una faida Kwenye kutongoza au usaili au uliwasolisha andiko au ukikusudia kuongea uongo
Maendeleo yanahitaji mtu mwenye nia na Mzalendo
Ila sholo mwamba sio mzalendo kabisaaa, jana kampigisha magoti mzee meko na macho kafunga akijua wanaomba allah kumbe swaga za “singeli” kweli ushamba na ulimbukeni ni mzigo!Watanzania bado kuwa watu uhuru amna maarifa ya kuchagua bado busara ni CCM kuendelea tu.
Yaani kabisa mtu na akili zake timamu anadhani Lissu anafaa kwa urahisi hii ni hatari as far as National security matters are concerned.
Kwanini wale Mashehe wa Uamsho wako ndani hadi hivi sasa?? Kama walitenda kweli makosa yale kwanini hawajahukumiwa hadi leo??Kwa kitu gani cha maana alichoongea wewe umenyimwa uhuru wakuabudu Lissu anao pigania.