Reykijaviki
JF-Expert Member
- Aug 25, 2020
- 426
- 653
Lisu anazungumza kwa utulivu sana namwangalia hapa ila jamaa kumbe mguu hawezi kuukunja tena dah alaaniwe mtu au watu waliompiga risasi maisha yao yote na vizazi vyao visipate furaha maishani mwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshindwa kwa miaka mitano kutamka ndio ataweza kutamka Leo? HahahahaKumsikiliza lissu ili iweje sasa. Bora Magufuli anaweza akatamka neema kwa wafanyakazi, wamachinga, boda boda na mama ntilie.
Lisu anazungumza kwa utulivu sana namwangalia hapa ila jamaa kumbe mguu hawezi kuukunja tena dah alaaniwe mtu au watu waliompiga risasi maisha yao yote na vizazi vyao visipate furaha maishani mwao
Azam TVIvi Nyie Nyumbu huwa mnaangaliaga tv gan kila tv mazponda lkn kila program za kila tv mnazijua hahahahahah mnanishangaza Aisee bablai
Dah bado hajawashawishi watanzania point hazina maisha yakumtoa mtanzania kimaendeleo naona kelele za harakati tu tulizifanya enzi izo...