Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Huyu ni The Greatest
Kwa watu kama nyie nipe cost ya kutengeneza offshore rig ili utoe Gas, nipe cost ya kutengeneza LNG plant upate Gas, nipe cost ya kutengeneza pipe ya kutoa Gas baharini hadi kwenye LNG plant na kutoka hapo kufika kiwandani.

Halafu linanginisha hizo cost na cost za hydro power uone hiyo investment ya kutoa Gas tu baharini utajenga hydro power ngapi.

Ni mtu anaejiropokea tu hajui finance, hajui uchumi na kuna kikundi tu cha wapuuzi wenzie wanamsikiliza si ajabu hajui Gas inayotoka baharini imechanganyika na maji inabidi uitoe kwanza kwenye maji ndio usambaze na kama unasafirisha uirudishe tena in liquid form.

Ni mtu anaeropoka ujinga tu
 
I tell huyu mtu inabidi akapimwe akili what a load of nonsense anaongea, hivi kabisa kuna watu wanaamini upuuzi anao ongea.
Shallow minded individuals ndio wataamini huo upuuzi. Tundu Lissu hana jipya.
 
Acha uongo we jamaa...
Watu wanao tazama sasa iv ni 6,145 hawa ndio unaosema dunia nzima..

Kupitia TV na ving'amuzi mbalimbali hawafiki hata watu laki tatu...

Nenda kaombe viewers wa leo wa ITV kupitia startimes, Azam, zuku na DStv.

Kiufupi tu nihivi
YouTube - 6,145
Azam - 43,200
Zuku - 21,042
Startimes - 97,511
DStv - 2,109

Currently statistics.

Jumlisha hapo upate total viewers.

Sasa dunia ina watu wangapi? Hata robo ya Tanzania bado.

Safari hii mnataabu kweli kweli et.View attachment 1557810

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Boss za jana zinasemaje?

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Shallow minded individuals ndio wataamini huo upuuzi. Tundu Lissu hana jipya.
Ujinga wao mpaka unakera how shallow can they be mtu anaongea upuuzi hana chochote anachokijua anaropoka kama vile anaongea na watoto wadogo na watu wazima wanamshangilia.
 
Yaani anajiropokea vitu ambavyo avielewi kabisa amekaa ulaya na kuona mambo kadhaa anadhani na Tanzania inaweza fanikisha kirahisi hivi anafahamu universal health credit inavyochangiwa kweli au anajiropokea tu.
Mbona mungu wenu wa chato yy kasema ataifanya Tanzania kama ulaya kwahiyo na yy kajiropokea au

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Niseme maneno haya tu!

Nimemsikiliza Tundu Lissu kuanzia mwanzo hadi mwisho. Nikiri tu. Lissu sio wa sayari hii!!!

Lissu ni zaidi ya Raisi. Leo hadi nimewish kipindi kisiishe. Watanzania kwa mara ya kwanza tumepata the right candidate!

Tundu Antiphas Lissu, nakuita tena Tundu Antiphas Lissu, shkamoo!!!!

Kura yangu umepata!!! Huyu jamaa ni akili sahihi ya kuipeleka nchi yetu mbele. Narudia tena!! Shkamoo Lissu
 
Kwa watu nyie nipe cost ya kutengeneza offshore rig ili utoe Gas, nipe cost ya kutengeneza LNG plant upate Gas, nipe cost ya kutengeneza pipe ya kutoa Gas baharini hadi kwenye LNG plant na kutoka hapo kufika kiwandani.

Halafu linanginisha na cost za hydro power uone hiyo investment cost ya kutoa Gas tu baharini utajenga hydro power ngapi.

Ni mtu anajiropokea tu hajui finance, hajui uchumi kuna kikundi tu cha wapuuzi wenzie wanamsikiliza si ajabu hajui Gas inayotoka baharini imechanganyika na maji inabidi uitoe kwanza kwenye maji ndio usambaze na kama unasafirisha uirudishe tena in liquid form.

Ni mtu anaeropoka ujinga tu
Rudi shule kasome Renewable Energy. Bro hujui chochote njoo nikupige pindi au nenda kinyerezi II wakupe muongozo
 
Ujinga wao mpaka unakera how shallow can they be mtu anaongea upuuzi hana chochote anachokijua anaropoka kama vile anaongea na watoto wadogo na watu wazima wanamshangilia.
Imewapenyaaaaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] magufuri hawezi kumfukia lissu hata nusu tu ... magufuri kichwani hakuna kitu mule
 
Back
Top Bottom