Hichi kipindi kinarudiwa lini, natamani sana muda kinarudiwa nikiingalieNiseme maneno haya tu!
Nimemsikiliza Tundu Lissu kuanzia mwanzo hadi mwisho. Nikiri tu. Lissu sio wa sayari hii!!!
Lissu ni zaidi ya Raisi. Leo hadi nimewish kipindi kisiishe. Watanzania kwa mara ya kwanza tumepata the right candidate!
Tundu Antiphas Lissu, nakuita tena Tundu Antiphas Lissu, shkamoo!!!!
Kura yangu umepata!!! Huyu jamaa ni akili sahihi ya kuipeleka nchi yetu mbele. Narudia tena!! Shkamoo Lissu