Acha uongo we jamaa...
Watu wanao tazama sasa iv ni 6,145 hawa ndio unaosema dunia nzima..
Kupitia TV na ving'amuzi mbalimbali hawafiki hata watu laki tatu...
Nenda kaombe viewers wa leo wa ITV kupitia startimes, Azam, zuku na DStv.
Kiufupi tu nihivi
YouTube - 6,145
Azam - 43,200
Zuku - 21,042
Startimes - 97,511
DStv - 2,109
Currently statistics.
Jumlisha hapo upate total viewers.
Sasa dunia ina watu wangapi? Hata robo ya Tanzania bado.
Safari hii mnataabu kweli kweli et.
View attachment 1557810
Sent from my Infinix X650B using
JamiiForums mobile app