Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Yaani anajiropokea vitu ambavyo avielewi kabisa amekaa ulaya na kuona mambo kadhaa anadhani na Tanzania inaweza fanikisha kirahisi hivi anafahamu universal health credit inavyochangiwa kweli au anajiropokea tu.
 
Nyumbu bhana leo eti wanasifia ITV waliosema imekufa haahahah hivi nyumbu huwa mnaangalia TV gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…