Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Za chini kwa chini yasemekana kwamba,
Warioba ana nafasi kubwa zaidi kupewa nafasi hiyo, huku mwenyewe akidai kutokua fiti kwa jukumu hilo zito na muhimu la uongozi, kwa sababu za kiumri.
Kuna shinikizo ni kubwa mno kutoka kwa viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hususan chadema, na hilo ndilo linalompa hamasa na nguvu ya kukubali hata kufanya na press conference za mara kwa mara kwa niaba ya Chadema.
Inasemekana,
Dr.Slaa ana offer za kugombea urais za vyama vya siasa zaidi ya kimoja humu nchini, na hivyo viongozi waandamizi wa chadema wengi, hawampi nafasi kubwa sana na hawamuamini kwa kiwango kikubwa, hiyo ni kulingana na rekodi yake ya usaliti katika mambo mbalimbali ya kijamii na kisiasa pia.
Kuna mfululizo wa press conferences umeandaliwa kwaajili ya kumtambulisha kiongozi huyo anaepewa nafasi kubwa zaidi kua mgombea uras wa chadema, ili hatiamae azoeleke kwa wananchi licha ya kwamba kweli, ni wazi umri umemtupa mkono ukilinganisha na aina ya siasa za nguvu Tanzania.
Ndrugo zango, haitakua aibu na fedheha huko mbeleni? Unashauri busara iwaelekeze chadema kufanya nini?
una maoni gani kuhusu chaguo hilo kwa wana chadema kwa ujumla?
Mungu Ibariki Tanzania