Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za chini kwa chini yasemekana kwamba,
Warioba ana nafasi kubwa zaidi kupewa nafasi hiyo, huku mwenyewe akidai kutokua fiti kwa jukumu hilo zito na muhimu la uongozi, kwa sababu za kiumri.
Kuna shinikizo ni kubwa mno kutoka kwa viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hususan chadema, na hilo ndilo linalompa hamasa na nguvu ya kukubali hata kufanya na press conference za mara kwa mara kwa niaba ya Chadema.
Inasemekana,
Dr.Slaa ana offer za kugombea urais za vyama vya siasa zaidi ya kimoja humu nchini, na hivyo viongozi waandamizi wa chadema wengi, hawampi nafasi kubwa sana na hawamuamini kwa kiwango kikubwa, hiyo ni kulingana na rekodi yake ya usaliti katika mambo mbalimbali ya kijamii na kisiasa pia.
Kuna mfululizo wa press conferences umeandaliwa kwaajili ya kumtambulisha kiongozi huyo anaepewa nafasi kubwa zaidi kua mgombea uras wa chadema, ili hatiamae azoeleke kwa wananchi licha ya kwamba kweli, ni wazi umri umemtupa mkono ukilinganisha na aina ya siasa za nguvu Tanzania.
Ndrugo zango, haitakua aibu na fedheha huko mbeleni? Unashauri busara iwaelekeze chadema kufanya nini?
una maoni gani kuhusu chaguo hilo kwa wana chadema kwa ujumla?
Mungu Ibariki Tanzania
Duh!Za chini kwa chini yasemekana kwamba,

Hizo ndizo ramli na mitazamo ya kishirikina.Za chini kwa chini yasemekana kwamba,

siasa haihitaji makasiriko hatakidogo gentleman,Mbona we jamaaa unaheshimika humu ila unaleta ramli chonganishi? Is it possible watu hao kugombea kupitia CHADEMA au umeamua tu ulete tetesi mtawanyiko kuivuruga CHADEMA. Mlipoona mzee warioba kaongea vile kwa hiyo mnamhusisha na chadema. ukiheshimiwa linda sana heshima yako

Gentleman,It doesn't make sense bora hata hiyo tetesi ungewataja akina heche, mnyika, pambalu na wengine wa kariba hiyo ukiwaacha kina lissu na mbowe nje ya box inge make sense hii tetesi. Muachage propaganda za kuvuruga mielekeo ya kumpata mgombea wa CHADEMA kipindi bado ni mapema mno kujua ni nani atakuwa mgombea wao
Chadema imelazimika kumpatia nafasi ya juu zaidi ya uongozi,Mzee wa watu kawapa ukweli msivyo na adabu mshampachika na chama. Hivi mtu kuwakosoa lazima awe na chama?
kwamba majambazi ya Chadema yameimuiba mwana CCM agombee urais kupitia chadema, right?NDio siasa wanazozipenda majambazi wa ccm
UNapenda majungu sana wewe🤣dudumizi pointless kumbe upo muungwana mwenye mawenge yake?🐒
kwani wengine,Wewe chawa tushakuchoka na stori zako za kutunga.
Warioba na Slaa, lini wamejiunga na Cdm?
Nadhani, namna Warioba alivyojitokeza juzi na kukemea maovu yanayofanywa katika kipindi cha utawala huu, tayari mmeshaingia kazini kumchafua.
Sijawahi kuona thread umeanzisha ikabeba mantiki, kila siku ni haya haya tu ya kulamba deshi deshi za watawala.
Ushindwe na ulegee.
Gentleman,Mwana CCM kujua mambo ya CHADEMA hasa ya ndani ni uongo, sishangai maana CCM uongo ni kipaumbele chenu!!