RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Kifupi ni kwamba!Za chini kwa chini yasemekana kwamba,
Warioba ana nafasi kubwa zaidi kupewa nafasi hiyo, huku mwenyewe akidai kutokua fiti kwa jukumu hilo zito na muhimu la uongozi, kwa sababu za kiumri.
Kuna shinikizo ni kubwa mno kutoka kwa viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hususan chadema, na hilo ndilo linalompa hamasa na nguvu ya kukubali hata kufanya na press conference za mara kwa mara kwa niaba ya Chadema.
Inasemekana,
Dr.Slaa ana offer za kugombea urais za vyama vya siasa zaidi ya kimoja humu nchini, na hivyo viongozi waandamizi wa chadema wengi, hawampi nafasi kubwa sana na hawamuamini kwa kiwango kikubwa, hiyo ni kulingana na rekodi yake ya usaliti katika mambo mbalimbali ya kijamii na kisiasa pia.
Kuna mfululizo wa press conferences umeandaliwa kwaajili ya kumtambulisha kiongozi huyo anaepewa nafasi kubwa zaidi kua mgombea uras wa chadema, ili hatiamae azoeleke kwa wananchi licha ya kwamba kweli, ni wazi umri umemtupa mkono ukilinganisha na aina ya siasa za nguvu Tanzania.
Ndrugo zango, haitakua aibu na fedheha huko mbeleni? Unashauri busara iwaelekeze chadema kufanya nini?
una maoni gani kuhusu chaguo hilo kwa wana chadema kwa ujumla?
Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ni mbunge lakini huna maono na ni rahisi kupumbazwa na wajinga wa siasa waliopo CCM chamani kwangu!
Press za warioba kama zinawapa maboss zako kimuhe muhe bhas waambie kinywa Cha warioba ni kinywa Cha Dola na Tec wakimtumia ku push ajenda za katiba mpya ijayo ,na Mzee Hana Cha kupoteza anataka aache legacy!?
Kinywa Cha warioba ni kinywa Cha wenye nchi wanaoonekana na wasioonekana ndani na nje ya nchi hii na kauli yake ya kusema "Tusipo chukua hatua" ni kauli nzito sana coz hatua anazosema sio za kidemokrasia wala.za kiraia Bali ni za kidola coz raia wanazimwa Kwa virungu vya polisi na washa washa!
Pia anaposema "msilitumie jeshi kisiasa ,unajua maana yake!!?ni kwamba siasa zimeshaanza kupenyezwa jeshini kama ni hivyo.jeshi litapoteza Imani na Amiri jeshi wake mkuu Kwa kuendekeza siasa jeshini unadhani nini kitatokea!!?
Makada wenzangu anzeni kufikiria nje ya box,juzi juzi Mafuru na mdungulile wamewaacha Wala Bata wenzao wabunge na makatibu wakuu,halafu Jana Kuna ajali ya wabunge!unafikiri yote hayo ni kwa bahati mbaya!!?
Huoni hiyo ni sequence and series!!?
Dr. Tulia anamuomba Mungu amakawize asiondoke mapema!unaelewa maana yake!!?Hana uhakika na usalama was maisha yake kuelekea uchaguzi mkuu mwakani!
Halafu wewe ulishiriki Ile Tour ya kwenda dubai baada ya kupitisha mkataba was Dp world!!?
Kama ulishiriki nenda katubu Ili Mungu akunusuru.kipindi hiki coz walioshiriki.wote like dili chafu kijasusi ni wahaini dhidi ya Jamhuri na kifo ni halali yao!!!
Nawaza tu kwasauti!Tilia maanani we mama!!

