Tetesi: Mgombea urais kupitia CHADEMA uchaguzi mkuu 2025, ni ama DR. W.P.Slaa au J.S.Warioba

Tetesi: Mgombea urais kupitia CHADEMA uchaguzi mkuu 2025, ni ama DR. W.P.Slaa au J.S.Warioba

acha nongwa gentleman,
mzee wetu wa heshima anaonekana kuwafaa zaidi wanaompendekeza kwenye uongozi wa juu wa taifa letu.

nadhani ni uhuru na haki yake kikatiba kuamua kadiri ya mapenzi yake.

binafsi namtakia kheri ikiwa itampendeza kufanya hivyo,

nanyi wadau wenzangu wote humu jukwaani nawatakia maandalizi mema ya christmas na mwaka mpya 2025. :pulpTRAVOLTA:
Tuwe wàkweli Jaji Warioba umri umeenda sana na sijawahi kumuona na tamaa za madaraka.
Kukosoa si kutaka madaraka bali haki ionekàne imetendeka.
 
Back
Top Bottom