Tetesi: Mgombea urais kupitia CHADEMA uchaguzi mkuu 2025, ni ama DR. W.P.Slaa au J.S.Warioba

🚮
Propaganda.
Dogo, hilo junia la taka ungeendelea kumuachia mwenzio
 
Wite hawana interest. Warioba ni mwana ccm hai wa muda mrefu na hajawahi wala hana mpango nanupinzani. Silaa hana interest na hiko cheo.
 
Hawa ndo tump huwaita shit holes
 
Wewe ni kati ya vichaa wachache wenye uwezo wa kuandika.
 
Dogo unahangaika kama kuku anataka kutaga

Au teenager amepata nyege

Kugombea uraisi not big deal kwa wenye akili

Issue ni tume huru ya uchaguzi itakayomtangaza mshindi
Naona huyo Tlaal talalila kichaa kimefika kwenye peak. Damu za watu zimemtoa akili.
 
Katika ubora wako Kubwa Jing
 
🌈
 

Kwa CCM watakuwa Kassim Majaliwa au January Makamba?
 


Tetesi kutoka chawa wa CCM kama changuzi ndiyo hizi za kijinga jinga kama serikali za mitaa serikali yetu itaishia kutia aibu na kuwekewa vigezo mtaniambia. Lakini wana weza kufanya jitihada kwa manufaa ya umma. Lakini tetesi hizi ni za kupuuza hawa machawa. Tuwaombee tu eaomdokane na hayo majini ya kutegemea kuwa machawa
 
We mambo ya Chadema yamekukutaje

Weka kanyani
 
Ramli chonganishi zinawatoshelezeni nyie na kusaza,habari za nyumba ya jirani yenu mwaachie mwenyewe uzuri wenyewe sii wachafu na kamwe hawafugi chawa na hawajawahi kufuga chawa.
 
Kwa upuuzi huu pia unalipwa?
 
Kumbe mzee wa Niguse ninuke tayari ameshalamba Mchanga, Niseme tu ukweli kuwa sidhani Kama Chadema wako Serious na Hii top job position
 
Wajinnga mpo wengi nchi hii. Wewe unawakilisha watanzania wajinga. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Au Majaliwa Majaliwa.

Hizi kazi za kidwanzi alikuwa anafanya Lucas. Kwani kaenda wapi?
gentleman,
hii tabia ya kung'ata na kupuliza umeitoa wap aise?

kwamba unakanyaga mafuta na breki sio kisiasa?

kwani mzee anaweza au hawezi nafasi hiyo?
 
Mbona unatapatapa sana kama kuku kakatwa kichwa.
genteman,
siasa hahitaji mihemko wala makasiriko?

kama mdau wa siasa,
nini maoni yako juu ya hoja mahususi ya wazi kabisa hapo jukwaani?

hakuna haja ya kumbwelambwela
 
Inashangaza sana. Wanasema wameshinda 99% lakini wanadundadunda kama Mpira wa kitenesi.
gentleman,
mambo haya ya siasa ni kujipanga tu,

kwenye hoja hii mezani, una maoni gani juu ya mapendekezo ya chadema dhidi ya hao wazee mashuhuri na manguli wa siasa za Tanzania, as far as 2025 general elections is concerned?

huna haja ya kumbwelambwela na ushirikina mwingine, hoja iko wazi tu mbona gentleman?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…