acha nongwa gentleman,
mzee wetu wa heshima anaonekana kuwafaa zaidi wanaompendekeza kwenye uongozi wa juu wa taifa letu.
nadhani ni uhuru na haki yake kikatiba kuamua kadiri ya mapenzi yake.
binafsi namtakia kheri ikiwa itampendeza kufanya hivyo,
nanyi wadau wenzangu wote humu jukwaani nawatakia maandalizi mema ya christmas na mwaka mpya 2025.