Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

..uliowataja ni vijana / umri wa kati lakini wamechoka sana kifikra.
 

Bila mfumo wa katiba mpya viongozi wanachaguliwa kwa uchawa na sio kwa demokrasia na huo ndiyo ukweli. Lakini unadhani siasa za Tanzania zitakuwa kama zamani bila kuelewa huko mtaani watu wanabadilika hivyo bado unafikiri yake ya kikwete na Lowassa 1995 ndiyo ya 2030. Hii nchi bila katiba mpya na sheria za kuaminika hatujui kesho yetu. Aliingia Magufuli kwa miaka 5 tu mpaka leo nchi haijarudi sawa hatuju kuna vichaa wangapi kwa hii miaka ijayo. Kwa vijana wasiofikiria katiba kwa mawazo yangu hawana maono. Mtabakia kuchaguliwa viongozi wa wakina Samia na Kiwwete
 
1. Paul Makonda

6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina

13. Hussein Mwinyi

labda hao hapo
 
Anthony Mtaka, au Dotto Biteko,
Sijawahi kusikia makando kando ya rushwa dhidi yao kama akina mwenzake na Februari.
 
Content yako inapingana na majina uliyoweka hapa. Unaeleza unahitaji mgombea kijana asiye vuka mika 50, hapo hapo unawaweka watu ambao hadi mwaka huo watakuwa wameshapitiliza umri kwa zaidi ya miaka 5 hadi kumi wengine. Uko serious kweli na andiko lako?
 
Tena awe na sifa za kujaribu kumuua LISU.
 
Orodha yako nimeichuja kuondoa takataka
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. John Mnyika
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ally Happi
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. Medard Kalemani
12. Dk Bashiru Ally
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Jokate Mwogelo
17. Queen Sendiga
 
🚮🗑
 
Hivi huyo number 16 huwa ana nini cha maana anafanya?au kwa sababu tu alikua mali ya jiwe?
 
John mnyika na jeri slaa hawana taabu yoyote very bright very smart
 
Kwenye hiyo list vijana ni watano tu. Na wengi ni corrupt tu.
 
Hapo wenye zero status ya corruption ni wachache sana na inahitaji muda kuwachunguza otherwise tutajikuta tuna viongozi wote wala na watoa rushwa
 
Mbona Nape amesaulika jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…