Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Namba 3, the trinity
 
Wengi hapo watakuwa 50 or above so ondoa hiyo ya umri labdavuseme asizidi 55.
My favourites
1.Simbachawene(mature,composed,ni mwenzetu anajua shida za mtz ameanzia chini mbali,ana experience ya uongozi)
2.Dotto Biteko(He is promising,anaonekana anaweza,ana kitu atafika mbali,ni mtendaji zaidi,mtu wa implementation,sijui kama ana uzoefu sana lkn sina shaka anaweza na ataweza)
3.Tulia Ackson/Kafulila/Polepole
Makonda apewe fupa gumu linalosumbua ninaamini atapita nalo,atatuvusha mf mambo ya maadili,kilimo(tutakuwa matajiri),miundombinu(mainjinia hawatazungusha viti ofsn watashinda site,sgr itaisha(awe tu na KM mzuri ambaye ataelewa kasi na falsafa ya waziri wake huyo)
 
Uchambuzi mzuri pia
 
Makonda hapana
 
Hapo hayupo

2030 tunaenda na Emmanuel Nchimbi

Ni Mgalatia na anafaa hana makandokando
 
Tukumbuke pia kwamba ni ZAMU ya Wakatoriki
 
K
Kuna majina nimeyaongeza kwa maombi ya wasomaji na wachangiaji
 
Ujana unaanzia umri gani na unakoma umri gani?
  • Kwenye list hiyo kuna aliye chini ya 40?
  • Wangapi watakuwa wametimiza au kuzidi umri wa miaka 41?
 
Hapa sijaelewa kidogo. Unadai mgombea lazima awe kijana halafu unamtaja Nchimbi, Simbachawene, Mwinyi na Majaliwa?
 
MARAIS WA 2030.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…