Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tanzania inahazina sana
 
Mbona hamna kijana hapo?
 
Namba 3 kwa kuchukia rushwa ni kweli nakubaliana na wewe ila Sifa zingine hujaweka
 
Mbona simuoni msigwa
 
Dotto
 
Rushwa haichukiwi kwa imani
rushwa haichukiwi kwa maombi
rushwa haichukiwi kwa kuomba
rushwa huchukiwa kwa sheria kali zisizo na mianya ya upendeleo
 
Kwani Kuna chama kingine Serious chakutoa someone presidential material?
Kwa hiyo chama Cha majanjili kipo serious kutoa presidential materials

Nyie ndo mnatuchelewesha kupata maendeleo endelevu

Uzuri mnazidi kupungua muda unavyokwenda
 
Hivi ni miaka mingapi? Na hao uliowataja wanamiaka mingapi kwa sasa ? Na hio 2030 watakuwa na miaka mingapi?
 
Ni nyumba ya mgongo wa tembo,chumba na sebule,pembeni kuna slope mbili,moja hutumika kama jikoni nyingine ni ya watoto.

Baada ya mambo kuwa mazuri aliwajengea wazazi wake ghorofa moja la kisasa huko Igoma Mwanza,

Nikiangalia nyumba hizo nasema Mungu yupo
 
Be inspired!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…