Michael Dudicoff
Senior Member
- Aug 20, 2024
- 170
- 243
By the way mimi pia natoka mkoa wa Kagera wilaya ya Ngara ndani ya mji wa Rulenge lakini naamini wahaya na wanyambo hawafai kwa nafasi ya urais. NI WAKABILA MNO NA AKIINGIA IKULU WANAVYOPENDA SIFA WANAWEZA PENDEKEZA KIHAYA KUWA LUGHA YA TAIFA.Acha ukabila mkuu
Huyu jamaa ni muadilifu
Hatujawahi kusikia kashfa yoyote alipopita
Kuwa tu mkweli mkuu
Karibu Kabanga borderBy the way mimi pia natoka mkoa wa Kagera wilaya ya Ngara ndani ya mji wa Rulenge lakini naamini wahaya na wanyambo hawafai kwa nafasi ya urais. NI WAKABILA MNO NA AKIINGIA IKULU WANAVYOPENDA SIFA WANAWEZA PENDEKEZA KIHAYA KUWA LUGHA YA TAIFA.
Kwa wale wasiokuwa tafauti ya kihaya na kinyambo ni kama tafauti ya kisukuma na kinyamwezi.
Kama si mmoja wao huwezi jua tafauti yao.
Wakiingia madarakani pale ikulu ukiingia utakawa unasikia tu
"chonkaa mbwenu kaziro Bojo Nye ninyenda ebitoke.
Huyo wa milima ya usambara ni walewale! Baba yake ni msambaa , mama yake ni Muhaya wa kyaka wilaya ya misenyi mkoani Kagera.Ni Heri tutawaliwe na yuve jamaa kutoka milima ya usambara kuliko huyu mhaya.. fikiria wahaya walivyo na ujivuni.
Hapo Kabanga ndipo kazaliwa mama yangu mzazi Allaah amrehemu.Karibu Kabanga border
Safi kabisaHapo Kabanga ndipo kazaliwa mama yangu mzazi Allaah amrehemu.
Wajomba zangu wanapatikana katika kitongoji cha Mugitamo Kijiji cha Nkundusi kata ya Kabanga. Ukienda Muhweza kuna binamu yangu mtoto wa shangazi yangu Allaah amrehemu.
Ila nyumbani hasa ambapo Kuna makaburi ya wazazi wangu ni Rulenge.
Kwa sasa nipo jijini Tanga .
Sina uhakika, nimesema yawezekana alibadili jina kihalali hata hivyo jina siyo tatizo issue ni kwamba anafanya kazi vizuri na watu wanamkubali jina halifanyi kazi.Alibadilisha lini? kihalali
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Na sasa kwa mamlaka niliyopewa natangaza mmoja kati ya hawa 15 ndio Rais wa JMT ajae badaa ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 14.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Juma Aweso
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
Katika hii list yako hakuna hata mmojaBila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Na sasa kwa mamlaka niliyopewa natangaza mmoja kati ya hawa 15 ndio Rais wa JMT ajae badaa ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 14.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Juma Aweso
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
Kwanza lazima tufahamu Rais wa awamu ya Tano alikuwa Mkristo kutoka Tanganyika hayati Dkt. JPM na kutokana na kifo chake Mhe. Dkt. SSH akachukua kiti na nchi hii kuwa na Rais wa Kwanza mwanamke, Muislamu, kutoka Visiwa vya Unguja na Pemba(Zanzibar). Inatarajiwa Mhe. SSH ataendelea na nafasi yake hadi 2030 baada ya uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025 ikiwa hakutakuwa na maamuzi mengine ndani ya CCM. Mwaka 2030 inatarajiwa mgombea wa Chama Tawala atoke bara na kwa asilimia kubwa atakuwa Mkristo Mkatoliki (Labda utokee muujiza wa Waprotestanti kusimamisha mgombea atayekubalika na Baraza la maaskofu Tanzania pamoja na BAKWATA), kinyume na hapo Rais ajaye atakuwa Mkatoliki (Kama ilivyo desturi ya Taifa letu - Kwa mujibu wa historia ya viongozi wakuu tangu uhuru wetu). Katika orodha hapo juu nadhani ni Mhe. Balozi H. Polepole, Mhe. Innocent Bashungwa na David Kafulila ambao ni wakatoliki, kuhusu Dkt. Tulia sina hakika na imani yake, hao wengine akina Mhe. Dkt. D. Biteko, Mhe. Dkt Mwigulu ni wa makanisa ya kiroho. Katika orodha hiyo, mtu pekee anayeweza kusimama na kukemea rushwa ni Mhe. Balozi H. polepole. Aina ya maisha aliyoishi akiwa mwanaharakati, baadaye kiongozi ndani ya CCM na sasa balozi wa Tanzania nchini Cuba, amethibitisha kuwa mtu anayeweza kutegemewa na kuaminiwa. Kwa maoni yangu ikiwa CCM itamsimamisha na kumpatia uungwaji mkono wa kutosha, sioni mtu wa kumzuia kuingia Ikulu.Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Na sasa kwa mamlaka niliyopewa natangaza mmoja kati ya hawa 15 ndio Rais wa JMT ajae badaa ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 14.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Juma Aweso
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
Umechaguliwa na nani? Au ndiyo mambo ya kupita bila kupingwa?!IBP mSafi kabisa
Me ndo balozi wa Ngara hapa jukwaani
Kwa wote hao hakuna labda mnipe mimi.Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Na sasa kwa mamlaka niliyopewa natangaza mmoja kati ya hawa 15 ndio Rais wa JMT ajae badaa ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 14.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Juma Aweso
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
yah, lazima atatoka CCMKwani lazima atoke CCM?
NashangaaKwani lazima atoke CCM?