Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.

Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.

Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.

Na sasa kwa mamlaka niliyopewa natangaza mmoja kati ya hawa 15 ndio Rais wa JMT ajae badaa ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 14.​

1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Juma Aweso
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
bahati mbaya hakuna hata mmoja hapo
 
Zero corruption status
 
Wote hao wamelamba sukari
 
Kuna mtu kapelekwa wizara ambayo Haina skendo

Taja Jina lake kama unamjua
 
Kwa list hii nimeamini kumbe hata Steve Nyerere na Mwijaku wanaweza kuwa Rais wa nchi yetu
Kwani ulikuwa ukidhani wanaokuwa maRais are people coming from the mars ???
Ni binaadamu wenzetu tu wenye Bahati zao 🙄👍
 
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.

Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.

Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.

Na sasa kwa mamlaka niliyopewa natangaza mmoja kati ya hawa 15 ndio Rais wa JMT ajae badaa ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 14.​

1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Juma Aweso
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
2,3,4
 
Mawazo ya kijinga hutoka kwa mtu mjinga.Watu wamejichokea ww unaongelea CCM pole sana.
 
Hapo sioni hata mmoja
Mim natabiri ataekuja kuwa Rais 2030 ni mtoto wa Mizengo Pinda( GEOFREY M. PINDA )
 
Back
Top Bottom