muheza2007
JF-Expert Member
- Mar 19, 2010
- 483
- 771
Watu wengi hapa hamuelewi umuhimu wa economy of scale.
ukinunua sukari ya watu kumi. Kila mtu atatoa pesa kubwa kuliko ukinunua sujari ya watu milioni moja.
Bima nayo ni hivyo hivyo. Kama kila mtu atalipa bima, bei yake itashuka sana.
let assume bei ya chini itakuwa laki moja kwa mwaka kwa familia.
Katika nchi ya watu milioni karibu 60. Lets assume watu milioni 20 watalipa bima. Hii namba inakuja kwasababu Kuna familia Baba na mama wanafanya kazi Kwahiyo wote watakuwa na bima. Kuna watu ni single na wana Nina zao tu. Kuna watu baba na mama na watoto wanafanya kazi. Kwa hiyo kadirio la milioni 20 ni reasonable.
kila mtu akilipa average laki moja, hizo ni trilioni 2 ambazo ni zaidi ya bajeti ya wizara ya afya.
Lakini hapo kulingana na mishahara yao kuna watu watalipa milioni kwa bima ya mwaka. Wengine laki kadhaa na wa mwisho laki moja kwa mwaka.
serikali itawalipia wale wasio na uwezo. Kirahisi tu unapata trilioni tatu kwa mwaka. Je hiyo pesa haiwezi kuendesha huduma ya afya kwa mwaka?
Katika hizo trilioni tatu, serikali itatoa chini ya bilioni moja. Pesa nyingi itakuwa michango ya watu wenye kazi pamoja na biashara.