Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Hawa jamaa wadhihirishe kama kweli hawana Mgombea wanayempigia chapu kwa kuonana na Wagombea wengine, TADEA, NCCR MAGEUZI, CUF, nk. La sivyo ni janja janja ambayo Watanzania wameishaigundua.
Hayo manenoya kulala hapo aliyasema Lissu, ni afadhali ukamuulize Lissu.Alale kivipi wakati polisi wa CCM walivyoondoa kuzuizi akitakiwa kuendelea na Safari ya Mlandizi
Akivunja sheria watamshughulikia bila kujari mkwara wa aina yoyote kutoka kwa mtu au taasisi yoyote, iwe ya nje au ya ndani.Usipotoshe.. hiyo ni kama policcm wangeendelea kumzuia
MPAKA UMEKOSOA, MAANA YAKE UMENIELEWAA.Kama kiongozi wa familia ndio unaandika hivi je, hao wengine miandiko si Ni kichefuchefu!
Inawezekana kukawa hakuna corona ila kuna Ukimwi,kipindupindu,kuhara damu,kichocho,kwashakoo,utapiamlo namagonjwa mengi yatokanayo na uchafu.kwahiyo kama kanyoosha njia kwenye corona hebu anyooshe njia kwenye hayo maradhi mengine pia.Yaani hizi picha zinafurahisha sana. Jembe Magufuli kasafisha njia. Tanzania hatuna corona.
Cheki wanavyo tabasamu no mask no unnecessary distance
Mbona Gwajima ana taka kuhamia Marekani na wanakaweApewe jimbo Marekani kama wanampenda sana.
Inawezekana kukawa hakuna corona ila kuna Ukimwi,kipindupindu,kuhara damu,kichocho,kwashakoo,utapiamlo namagonjwa mengi yatokanayo na uchafu.kwahiyo kama kanyoosha njia kwenye corona hebu anyooshe njia kwenye hayo maradhi mengine pia.
We "matacco" ulitaka afanyeje kampeni zake bila ya misaada? Jiwe yeye anatumia kodi zetu kufanya kampeni za kufuru kwa kukodi wasanii.We m...k...n..d...u kweli!! kwani hujui wanaompa mapesa Lissu ni wazungu na kundi la akina Robert Amstadam?? Nani kakwambia hana pesa?
Akiwa hivyo wewe utapungukiwa na nini kwenye mahitaji yako? Au itaathiri vipi utendaji wake wa kazi au kulikagua hilo jeshi?Hatutaki amiri jeshi ambaye atakagua paredi huku anachechemea
Kwa kutembea.Aagh!! sasa atapokeaje saluti bana!!?
Kinyongo cha nn ndugu yangu? Hilo nalo ni kosa Lisu kafanya? Aiaee.....Hivi wewe unajua maana ya siasa kweli?Apewe jimbo Marekani kama wanampenda sana.
Upuuzi tu.Walivyo na furaha inaonyesha wamezungumza mambo ya msingi sana na hasa ishu hiyo ya uchaguzi.
Ni zamu ya yule mwingine, je ataweza kweli kuzungumza hoja za maana bila mkalimani?
wanatuzidi padogo sana, mwenzake kaja na makabrasha ya manyaraka
Marekani wanaijua Tanzania na wanaelewa wanachotakiwa kukifanya bila kuwakosea Watanzania. Mpaka saizi wameamini akili ya JPM ina dira nzuri yenye kuutambua ukuu wa Mungu.Wamarekani ndio wanatawala dunia, kama hautaki andamana.
wana sheria wengi wana akili na mitego mingi tusubiriView attachment 1593154
Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameonyesha kufurahishwa kukutana na Mwanasheria huyo nguli.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Donald J. Wright ameandika "It was wonderful to finally meet Tundu Lissu today. While the U.S. does not support any candidate or party in the upcoming election, we fully support a free, fair, and transparent process where all parties are afforded equal treatment".
View attachment 1593156
Yule mwingine ndiye aliyepokea hati yake ya utambulisho na kumruhusu kuwepo nchini. Yule mwingine kwa hadhi yake hawezi kumfuata huyo balozi huko vichochoroni bali balozi anaomba kufika ikulu tena CHAMWINO DODOMA.Walivyo na furaha inaonyesha wamezungumza mambo ya msingi sana na hasa ishu hiyo ya uchaguzi.
Ni zamu ya yule mwingine, je ataweza kweli kuzungumza hoja za maana bila mkalimani?