Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu akutana na Balozi wa Marekani

Jiwe ana PhD ya korosho na alisoma kwa lugha ya malkia ila haijui lugha yenyewe japo alifundisha pia kwa kingereza. Aibu iliyoje
Watanzania ambao wanaishi mijini wanazungumza kiswahili mwanzo mwisho, wengi waliopo vijijini wazungumza kilugha, lakini kwenye mtihani wa kiswahili wapo ambao wanazungunza kiswahili muda wote lakini wanaishia kupata F na wapo ambao wanaongea kilugha huko vijijini hadi kwenye majadiliano darasani lakini wanapata A. Nadhani nimekujibu
 
Yaani umeona hii nayo ni habari kubwa!! Huyo balozi anakutana na wagombea urais na viongozi wa vyama kujifunza kutoka kwao kwa kuwa amekuja TZ hivi karibuni juzi alikutana na Mbatia lakini kwa kuwa uko mbali huwezi jua haya dada!
 

Attachments

  • IMG-20201006-WA0023.jpg
    28.4 KB · Views: 1
The next President of The United Republic of Tanzania πŸ™πŸ½
 
Nawaza yule mwenzetu atatumia lugha gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…