Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta

...hii ni move kali sana....huyu mwamba kampeni manager wa Lissu ni kichwa smart sana...amewaweka chini kabisa kina bashiru na ccm yao....huyu mwamba ni wa kupongeza sana....
2025 tutamsajili..apate kandarasi ya maana.
 
Haka kadude huwa sikaaminiamini ni rahisi wabaya wako kukafanyia uhuni
Kama risasi zilizorushwa mita 15 kuelekea kwenye target zilidunda na kushindwa kumuua..

Basi hata ikitokea shetani anaihujumu Chopa nakuhakikishia litasambaratika bodi lake lakini sterling hawezi kufa..!

You have to know that, something peculiar is in this person...

He will neither die today nor tomorrow until THE MISSION IS ACCOMPLISHED..!!!
 
Hajajuwa NYAMBIZI erio imekita NANGA.....
 
Muda huu chopa lipasua anga za Karatu ...watu wanashangilia hatareee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…