Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
- Thread starter
- #121
Hahahaha MKUU ......Hii kitu ilikuwa planned, lengo ni kuongeza amsha amsha katika siku za mwisho za kampeni.
Hongera Upinzani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha MKUU ......Hii kitu ilikuwa planned, lengo ni kuongeza amsha amsha katika siku za mwisho za kampeni.
Hongera Upinzani.
Igweeeeeehhh....Jogoo hafi kwa utitiri, kuwa na amani Mkuu.
wewe wasema....Baskeli la miti hilo halina impact yoyote kwa CCM.
Salute Mkuuu...himaaaaaaaaHii ime tulia. Mataga watakaa..
2025 tutamsajili..apate kandarasi ya maana....hii ni move kali sana....huyu mwamba kampeni manager wa Lissu ni kichwa smart sana...amewaweka chini kabisa kina bashiru na ccm yao....huyu mwamba ni wa kupongeza sana....
Tetetesi: polepole bashiru kibarua OUT...stay tuned HAPA HAPA2025 tutamsajili..apate kandarasi ya maana.
Kama risasi zilizorushwa mita 15 kuelekea kwenye target zilidunda na kushindwa kumuua..Haka kadude huwa sikaaminiamini ni rahisi wabaya wako kukafanyia uhuni
Hajajuwa NYAMBIZI erio imekita NANGA.....Kama risasi zilizorushwa mita 15 kuelekea kwenye target zilidunda na kushindwa kumuua..
Basi hata ikitokea shetani anaihujumu Chopa nakuhakikishia litasambaratika bodi lake lakini sterling hawezi kufa..!
You have to know that, something peculiar is in this person...
He will neither die today nor tomorrow until THE MISSION IS ACCOMPLISHED..!!!
Hiyo Keki ya TAIFA ina SHUBIRI....kizuri kula na TAIFAHata akitumua ungo wa kichawi, aibu ya kushindwa vibaya haikwepeki kwake
Hii ni propaganda si kweliUchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani ni dhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Mkuu tunyonge SPANA wameshaanza KUFUNGASHA....Hii ni propaganda si kweli
na huku NSSF wote tuseme LISUUUUUUUUUUUUU......Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu.
Mmeteswa sana miaka 5
Mkuu wamesha Timuliwa ...kiranja kafura hataree....Hii ime tulia. Mataga watakaa..
Mi ya kwangu siwezi kuipoteza kimzaha mzaha kiasi hiki mkuu, JPM ndio habari ya TaifaWatumishi wote na familia zao kura kwa lissu.
Mmeteswa sana miaka 5