Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

Kiongozi mkubwa tena nwanaume anaomba kusuguliwa hadharani?basi sawa kwakuwa ni viungo vyake ndivyo vinaumia sisi nhoja tumpongeze
Mkuu! Bado siku 13 tu.

Huyo mwanafaraga wenu mwambieni beberu wake huko aliko anamsubiri kwa hamu sana.
 
Pole sana mkuu! Mie najipendekeza kwa nani kwani najulikana na nani?

Mimi napigania taifa langu lisiangukie mikononi mwa magasho kina Amsterdam na wana faragha kina Lisu.
Hata mtoto wa khasim majariwa hawezi kupigania kiboya ivyo

ACHA KUTUMIKISHWA KISA HELA YA KULA
 
Mkuu! Bado siku 13 tu.

Huyo mwanafaraga wenu mwambieni beberu wake huko aliko anamsubiri kwa hamu sana.
Nasikia baada ya mkutano wa jana kasuguliwa kwelikweli leo amelala kupumzisha kiungo chake
 
Tunashukuru kwa fursa hii.

Swali:Una mpango gani kuhusu kurudisha Bunge live iwapo utafanikiwa kuwa Raisi wa nchi hii?

Ushauri:Kwenye kampeni zako,nakushauri ulipe uzito swala la kikokotoo kama unavyofanya kwenye swala la mishahara ya wafanyakazi kwani lina impact kubwa na linagusa watumishi wengi zaidi hata wale wenye mishahara mikubwa na hata majeshi yetu yote.
 
Hata mtoto wa khasim majariwa hawezi kupigania kiboya ivyo

ACHA KUTUMIKISHWA KISA HELA YA KULA
Kupigania nchi yangu isiwe taifa la magasho ni kutumikishwa?

Acha nitumike aisee
 
Swali.kwanini mlikatazwa kufanya siasa kinyume na katiba kinyume na sheria alfu mkakubali kutii amri isiyo ya kisheria?
 
Nasikia baada ya mkutano wa jana kasuguliwa kwelikweli leo amelala kupumzisha kiungo chake
Mkuu, shida ni kwamba hata wana faragha wenzio wanaona unapoteza muda kuongea uongo dhidi ya ukweli aliousema mwana faragha wenu hadharani
 
Hapa jf ndo wenye mihemko na Lisu wapo aje aongee nao. Huko mtaani anapoteza muda

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Hakika.
EkORYQlXsAElaoC.jpg
 
Mmefanya utafiti ni kaya ngapi zimevunjiwa nyumba zao bila fidia?
 
Wale wakurugenzi wa halimashauri walioondolewa kazini mwaka 2016 je waliondolewa kazini kwa mujibu wa sheria za kazi za utumishi wa umma?
 
Atakapokuja naomba mmchomekee na ki memo kutoka kwa Ad Majorem, Rais wa Wauza mahindi ya kuchoma , Moshi Manispaa:

1. Kuanzia Disemba mwaka Jana, DUNIA ilikubwa na janga la ugonjwa wa COVID-19, na hapa kwetu Tanzania, tangu Wakati huo, tulishuhudia wagonjwa wengi kabla serikali haijasitisha kutangaza wagonjwa wapya, baadae kusema hakuna wagonjwa. Chadema Kama Chama na Mgombea Urais(TL) na baadhi ya wanaharakati, tunaamini COVID-19 bado ipo na inaua japo serikali haitaki kutangaza. Sasa,
1. Je, Chadema na Lissu baada mnaamini kuwa COVID-19 bado ipo nchini?
2. Yapi maoni yako juu ya namna serikali ilivyopambana na janga Hilo? Na Je, iwapo wewe ndo ungekuwa rais, ungefuata njia gani kupambana na janga Hilo?
3. Mmeonekana kwenye mikutano yenu bila kumaintain social-distancing, kunawa mikono Wala kuvaa Barakoa. Je, ndo mmeamua msambaziane corrona hiyo mnayoamini bado ipo nchini na inauwa watu wengi?


Swali la Pili.
Kumekuwa na kauli zinazosemwa na washindani wako, kwamba ukichaguliwa kuwa Rais, Basi utahalalisha Ndoa za Jinsia Moja. Je, Upi ni msimamo wako juu ya changamoto za Wapenzi wa jinsia moja? Uhuru na haki yao ya faragha na kufurahia maisha Kama raia wengine?

Swali la tatu.
Inasemekana kuwa Robert Amsterdam's, mawakili wanaokusimamia na kukushauri kwa masuala ya kisheria, kwa Wakati fulani, waliwahi kufanya kazi na kampuni ya uchimbaji wa madini ACASIA, ambayo, Wakati fulani iliingia mgogoro na serikali ya JMT baada ya serikali kuzuia usafirishaji wa makinikia, Kama njia ya kulinda raslimali za Taifa. Raia wengi tunaamini, kitendo hiki Cha serikali, kilisaidia kulinda raslimali madini, kuhakikisha zinawanufaisha watu. Hivyo, kitendo Cha kutumia mawakili waliowahi fanya kazi na kampuni iliyokuwa kwenye mgogoro na serikali huoni Kama kina Leta Mgongano wa Kimaslahi( Conflict of interest) Kati ya pande zote tatu? Je, unauaminishaje umma wa Watanzania kuwa mawakili hao hawalipwi na ACASIA kwa lengo la wewe ukifanikiwa kushinda, uwarudishe kwenye industry ya Madini kwa Tanzania ili waendelee kutunyonya?

Asante.
 
Tunashukuru kwa fursa hii.

Swali:Una mpango gani kuhusu kurudisha Bunge live iwapo utafanikiwa kuwa Raisi wa nchi hii?

Ushauri:Kwenye kampeni zako,nakushauri ulipe uzito swala la kikokotoo kama unavyofanya kwenye swala la mishahara ya wafanyakazi kwani lina impact kubwa na linagusa watumishi wengi zaidi hata wale wenye mishahara mikubwa na hata majeshi yetu yote.
 
Back
Top Bottom