Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Huyu Binti nadhani naangalia sura za Wajumbe akakumbuka kuwa hapa deni halitalipika na kazi hana tena! Kajikuta akili imegoma, sasa hawa ndio watu wa kwenda kushindana na akina Heche eti CCM acheni masiala aiseeee. Mtu anashindwa kujieleza mbele ya Wajumbe si ndio ataishia kupiga makofi tu? Angalia video