James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Katika hali isiyo ya kawaida huyu dada kwenye hii video hapo chini alipatwa na fedheha baada ya midomo kushindwa kufunguka mbele ya wajumbe. Alianza hotuba yake vizuri lakini alopofika katikati midomo ilijam na kumuharibia siku yake.
Ni kitu cha kuhuzunisha lakini lazima nikiri sikuweza kujizuia kucheka! Kwa wazee wa kiswahili watakwambia wagombea wenzake walimfanyia mambo ya kishirikina na kumpiga "scud" 😂 lakini sitaki kuamini hivyo.
Naomba viongozi wa chama chake wamsaidie kumtoa hofu na kumtia moyo na pia kumfundisha kuongea mbele ya alaiki.