Mshangai
JF-Expert Member
- Feb 16, 2008
- 468
- 1,086
Unaniudhi Mshana Jr, sii iseme neno moja tukusikie? Jee ni kipapai au kitu kingine tuu katika kuweka mambo kwenye line?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Maana green sio mchezo, 2015 mzee white hair nasikia walimfix hadi halikuwa anaogopa "kupumua" jukwaani, akijaribu tuu ngoma inatema na hali ya hewa inaharibika.