Uchaguzi 2020 Mgombea wa CCM "apigwa kipapai" akiwa Jukwaani. Point zayeyuka

Uchaguzi 2020 Mgombea wa CCM "apigwa kipapai" akiwa Jukwaani. Point zayeyuka

Unajua huyu dada ilibidi agawe nyapu kwa Polepole ili kufikia hatua hiyo. Lkn mumewe mpendwa ndiye amegharamia kila kitu mpk tunamuona hapo.

Sasa leo akiwa jukwaani kumbukumbu za shombo la Polepole zikqmjia. Kiila akikumbuka shombo la Polepole points zikawa zinapotea..
 
Alidhibitiwa kwa teknolojia hii,domo limipigwa pin ya kufa mtu.
IMG-20200809-WA0000.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huyu Binti nadhani naangalia sura za Wajumbe akakumbuka kuwa hapa deni halitalipika na kazi hana tena! Kajikuta akili imegoma, sasa hawa ndio watu wa kwenda kushindana na akina Heche eti.....CCM acheni masiala aiseeee. Mtu anashindwa kujieleza mbele ya Wajumbe si ndio ataishia kupiga makofi tu? Angalia video
Hao ndio ccm ya meko wanaamini ndumba tu
 
Nimechekaaa .... kua uyaone ya Dunia kwa kweli khha
Ni nini kwani?
Acha nimalizie kunywa naniliii maana nilipaliwa kwa jinsi nilivyocheka
Kuishi kwa ujanja ujanja kichwani sifuri
 
Unajua huyu dada ilibidi agawe nyapu kwa Polepole ili kufikia hatua hiyo. Lkn mumewe mpendwa ndiye amegharamia kila kitu mpk tunamuona hapo.

Sasa leo akiwa jukwaani kumbukumbu za shombo la Polepole zikqmjia. Kiila akikumbuka shombo la Polepole points zikawa zinapotea..
Usiombe yakukute....
 
Kilicho mpata hakueleweki.....mbona alikuwa anajiamini ,imekuwaje ashindwe kutamka baadhi ya maneno tu
...uso ulijaaakujiamini!
Kuna mtu alikalia bakuli wskati anaongea
Huo ndio ukweli
 
Hawa ndio aina ya watu ambao hupendwa na akina Polepole na Bashiru Ally ili kuleta maendeleo nchini kwa ajili ya kuwa donor country baadae
 
Stage fright, baada ya kupanick, alipaswa kuwa natural tu na kuwambia wajumbe,nimepanick mnisamehe bure
 
Huyu Binti nadhani naangalia sura za Wajumbe akakumbuka kuwa hapa deni halitalipika na kazi hana tena! Kajikuta akili imegoma, sasa hawa ndio watu wa kwenda kushindana na akina Heche eti.....CCM acheni masiala aiseeee. Mtu anashindwa kujieleza mbele ya Wajumbe si ndio ataishia kupiga makofi tu? Angalia video
Huyo ni mjumbe wa baraza kuu Taifa. Aisee
 
Back
Top Bottom