Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
wewe uko level ya juu, acha kujihusisha na ujinga kwa kuulembalemba.Stage fright,,,baada ya kupanick,alipaswa kuwa natural tu na kuwambia wajumbe,nimepanick mnisamehe bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe uko level ya juu, acha kujihusisha na ujinga kwa kuulembalemba.Stage fright,,,baada ya kupanick,alipaswa kuwa natural tu na kuwambia wajumbe,nimepanick mnisamehe bure
Na hao ni vijana lakini wamefikia level hiyo ya uchawi jee wakizeeka si mpaka ibilisi mwenyewe ataomba po !Hao ndio ccm ya meko wanaamini ndumba tu
Hiyo pini kapigwa na wagombea wenzake hapo wajumbe wanakuja kufanya finishing tuBahati mbaya kaangukia kwa Wajumbe
Hahahaha vigagulaNa hao ni vijana lakini wamefikia level hiyo ya uchawi jee wakizeeka si mpaka ibilisi mwenyewe ataomba po !
KumbeHuo ndo uwezo wao hao CCM
Sijawahi kumuona CCM yoyote mwenye point ya msingi tangu siasa za vyama vingi kuanza
Wala hajalogwa huyo
Msishangae sana jamani hawa ndiyo vichwa wa CCM. Mradi ana uwezo wa kukariri ''CCM HOYEE'' atapita tu.Mwenyekiti wa mjini ndiye aliyeshikiria hirizi.
Na ndiyo wamejazana CCM siku hizi. Ukishajua kutaka ''CCM hoyee'' kwa vigezo vyao basi wewe ni ''kichwa''.Huyo Dada namfahamu ni wa Lindi ni wale wadada wajanja wajanja wa mjini hata shule hamna hapo kaishia form four .
Ama ndo kipara kipya ..
Bila shaka in mwanamke maana si kwa shobo zile.[emoji23][emoji23]
Mkuu kwani kipara kipya ni mwanamke?