Unaniudhi Mshana Jr, sii iseme neno moja tukusikie? Jee ni kipapai au kitu kingine tuu katika kuweka mambo kwenye line?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Unajua huyu dada ilibidi agawe nyapu kwa Polepole ili kufikia hatua hiyo. Lkn mumewe mpendwa ndiye amegharamia kila kitu mpk tunamuona hapo.
Sasa leo akiwa jukwaani kumbukumbu za shombo la Polepole zikqmjia. Kiila akikumbuka shombo la Polepole points zikawa zinapotea..
Hahaha! Habari ndiyo hiyo ndugu.mhh jamani[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji115]
Kabla hujawaza kwa mihemko khs Tanzania, ulifikiria kwamba yawezekana alipaniki au tatizo linngine lolote la kisaikolojia?
That's why you kill each other like flies, you never use your brains to think logically whenever you face problems, even straight forwards problem like this, still you are coming up with stupid conclusion.Around the world a sense of mystery and fear engulfs witchcraft and nowhere is this more evident than in the East African nation of Tanzania.
In danganyika faith in this specific form of tradition can turn deadly as witnessed during a ccm party meeting where members of Parliament were supposed to ask for votes. View attachment 1532414
Ccm hatuamini kwenye ushirikinaAround the world a sense of mystery and fear engulfs witchcraft and nowhere is this more evident than in the East African nation of Tanzania.
In danganyika faith in this specific form of tradition can turn deadly as witnessed during a ccm party meeting where members of Parliament were supposed to ask for votes. View attachment 1532414
Vipi mungu wenu mwenge Nyamrunda sio ushirikina.Ccm hatuamini kwenye ushirikina
Halafu bro, Naona umeweka rangi kijani kwa dp yako, kumaanisha nini katika hiyo rangi? au ako na kadi ya chama?!!Huyo Mshana Jr sidhani kama mauchawi yake yana jeuri yoyote dhidi ya CCM.
Na ndio uamini uchawi wa hao jamaa ni balaa, kuna video niliona kwenye mitandao ya Polepole akiiponda CCM kitambo, unaamini ingewezekana?
Halafu bro, Naona umeweka rangi kijani kwa dp yako, kumaanisha nini katika hiyo rangi? au ako na kadi ya chama?!!
Hii ni panic attack imemuanza from ameanza kuongea si katikati ya meongezi kama umemwangali vizuri alianza kwa presha na huo ni mwendelezo tu.Around the world a sense of mystery and fear engulfs witchcraft and nowhere is this more evident than in the East African nation of Tanzania.
In danganyika faith in this specific form of tradition can turn deadly as witnessed during a ccm party meeting where members of Parliament were supposed to ask for votes.