Uchaguzi 2020 Mgombea wa CCM "apigwa kipapai" akiwa Jukwaani. Point zayeyuka

Katika hali isiyo ya kawaida huyu dada kwenye hii video hapo chini alipatwa na fedheha baada ya midomo kushindwa kufunguka mbele ya wajumbe. Alianza hotuba yake vizuri lakini alopofika katikati midomo ilijam na kumuharibia siku yake.

Ni kitu cha kuhuzunisha lakini lazima nikiri sikuweza kujizuia kucheka! Kwa wazee wa kiswahili watakwambia wagombea wenzake walimfanyia mambo ya kishirikina na kumpiga "scud" 😂 lakini sitaki kuamini hivyo.

Naomba viongozi wa chama chake wamsaidie kumtoa hofu na kumtia moyo na pia kumfundisha kuongea mbele ya alaiki.

Your browser is not able to display this video.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sijawahi cheka kama hivi tangu nizaliwe🤣🤣🤣
 
Aisee nimecheka sana. Jamaa anasema ati alipigwa kipapai
 

Boya huyo.
 
Hakuna cha uchawi wala nini, Huyu dada anaitwa Husna Mwambiko ni Lindi A typical,
Hamna kitu hapo ni empty set kabisa anategemea kujipendekeza na kugawa nyapu atape viti maalum.
Shortly ni mtupu kichwani
Anautumia "uchumi wa kati" vizuri eegh??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…