Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Maoga nyie kazi kubebwa tu!
 
Afrika na Uchafuzi wa Kodi za Wananchi kama kawaida yao. Ngozi ngumu kama ya Mamba pumbav sana.
 
Mibange inawazingua hao tume.

Unamuhukumu vipi mtu bila kumsikilize
Kwani hujui kusoma? Cha kujiuliza ni kwa nini CHADEMA wanasema hilo ni lake? Tunachukulia powa lakini huenda uongozi wa chama hauna mpango naye!
 
ili pia ni jepesi sana kwa Lissu, Lissu atalijibu tu ndani ya saa chache na tume watapata aibu. hii ni weekend ndefu sana kwa Wilson Mahera group, Hawatapata usingizi.

kwa kifupi jiwe hapendi na hawezi ushindani, yaani anataka ile ile staili aliyotumia ya kumpitisha kugombea urais kwa tiketi ya ccm kwa asilimia 100. Ndio sababu mapema sana alimtimua Benard Membe.
 
Kwa sababu Magufuli ameenda likizo siku Saba Basi na Lisu amefungiwa Siku saba..

Hii sio sawa kabisa, unapigana na mshindani wako huku umefungwa kamba Miguu na Mikono.
 
"Wajumbe 11 kati ya 15 wamekubali kuwa malalamiko yamezingatia utaratibu na wajumbe 2 kati ya 15 wamesema uwasilishaji wa malalamiko haukufuata taratibu"

Kumbe maamuzi ya kisheria huwa yanapigiwa kura pia, sio kuzingatia sheria inasemaje! Halafu hawajasema wajumbe wengine 2 walisemaje, maana hapo ni 13 kati ya 15
 
Tume waoga sana yaani. Baada ya Magufuli kwenda Likizo ya kujipangia siku 8, tume wameona na Tundu Lissu aende likizo ya lazima kwa siku saba. Moto hauzimwi kwa petrol.
Watu kama wewe unatutafutia ban kama tutasema pumbav. Unaambiwa kamati ya maadili wewe unasema tume. Yaani unashinda JF bila uelewa kiasi hiki?
 
Kwani mugabe hajaiacha zimbabwe?'.Haki ni jambo la msingi sana kwakila jamii.kinyume na hapo jamii itaendelea kuidai hadi mwisho wa dunia.
 
yaani mnavyojifariji mpaka mnatia huruma mnajua kabisa lissu atashinda?
 
Magufuli nae anakwenda mapumziko ya kampeni kwa siku nane. Sijui afya imeshake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…