Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Polisi, NEC....[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Hakuna kitu kibaya kama njaa ikipanda kichwani, ndicho kinacho wasumbua
 
Hivi anaposema malalamiko yanamuhusu yeye na sio chama, sheria yetu inaruhusu wagombea binafsi?
 
Weka barua mkuu. Itapendeza zaidi.

Na yule anayetishia wapiga kura kule Tunduma anachukuliwa hatua gani? Kasema wasipomchagua Silinde anawanyima maji, utadhani Tunduma hawalipi kodi.
Nenda post no 1
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi.
Wasubiri majibu ya Shujaa wa Mungu sasa Tundu Antiphas Lissu!

Lissu wauweeeeeeeee!
 
Kumhukumu mtu bila kumsikiliza it's against the Law of Natural Justice. Mwl Mwakyembe alinifundishaga pale UDSM.

YESU NI BWANA.
 
Imekaaje wana JF kuwa malalamiko Chama kinayakataa na kumbebesha mzigo mgombea tu? Kwani si ndio kimemdhamini, kwanini katibu mkuu ayakatae malalamiko ili hali ndio mdhamini mkuu wa mgombea na kwamba apelekewe mhusika?

Ama chama kinajiweka pembeni pindi mgombea anatuhumiwa? Sijaelewa plz Wana CHADEMA. Wajuzi tunaomba mtufafanulie sis wengine tusio jua hay mambo.

Au CHADEMA hawamuungi mkono jamaa ndio maana anapambana mwenyewe tu majukwaani na mashabiki zake tu.
 
Mzee anaenda kupumzika siku nane

Kumbe mlishapanga na huku lissu mummpumzishe siku 7

Halafu magu akajipange ili akirudi aende sambamba na Lissu

Magufuli Mungu anakuona.
 
Back
Top Bottom