900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Hata Lisu haiogopi tumeccm next week kampeni inaendeleaAlidhani NEC inamuogopa ha ha ha ha haaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Lisu haiogopi tumeccm next week kampeni inaendeleaAlidhani NEC inamuogopa ha ha ha ha haaa
Usihofu ndugu. Mwisho wake ni tarehe 28/10/2020uonevu huu mpka lini?
Hiyo zimbabwe chini ya zanupf wazimbabwe wanaishi Kama mashetani kuzimu na ndio CCM wanataka kutupeleka huko!Na asipojirekebisha anafutwa kabisa kwenye uchaguzi,Lissu asijiropokee hovyo akahisi labda serikali haipo au inamuogopa wala asijifanganye.
Morgan Tshivangirai alikuwa kama Lissu lakini mwisho wa siku alipigwa spana na kaiacha Zimbabwe hiyo inasonga chini ya Zanupf.
Kwa ulivyo na akili fupi mnadhami mmemkomoa Lissu kumbe ndo mmemuongezea kura kwa maelfu.Alidhani NEC inamuogopa ha ha ha ha haaa
JIFUNZE KUTOA TAARIFA SAHIHITume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...
Kwa hali ilivyo, ni Tume tu ndiyo ya kumzuia.yaani mnavyojifariji mpaka mnatia huruma mnajua kabisa lissu atashinda?
Kwa jinsi Zimbabwe maisha yalivyo magumu, ni juha tu kama ww anaweza kuandika huu utoto hapa jukwaani. Kwa taarifa yako, hata yale mashamba waliyopewa wazalendo uchwara Zimbabwe yanarudishwa kwa wazungu.
Subirini kifuatacho itv!!! Mtajuta kumfahamu Lissu mwaka huu!Safi sana, najua hapo anatafutiwa timing harafu wamle kichwa,mpuuzi sana huyu mgombea wetu,haiwezekanai ajione kuwa yeye yuko juu kuliko wagombea wengine.
Mpelekee Mzee Baba 'portable' AC injini imepata moto sana.Na asipojirekebisha anafutwa kabisa kwenye uchaguzi,Lissu asijiropokee hovyo akahisi labda serikali haipo au inamuogopa wala asijifanganye.
Morgan Tshivangirai alikuwa kama Lissu lakini mwisho wa siku alipigwa spana na kaiacha Zimbabwe hiyo inasonga chini ya Zanupf.
Yaaani hapa wamechokoza sasa ni mwendo wa kampeni bila ratiba maana tume haiko huru wananchi wataamua kamoeni hadi saa tano usiku.No hate no fear, People’s Power ✌🏾
Sasa ni mwendo wa kampeni bila ratiba bila polisiSubirini kifuatacho itv!!! Mtajuta kumfahamu Lissu mwaka huu!
Ajaribu aone kama hajapigwa mitama hadi aombe pooooHata Lisu haiogopi tumeccm next week kampeni inaendelea
Mtajua hamjui mwaka huu. Hamumjui Lissu vizuri nyie vilazaAjaribu aone kama hajapigwa mitama hadi aombe poooo
Kwa mfano ugomvi wake ni upi?ila jamani tuache ushabiki huyu jamaa anafanya siasa za ugomvi hata hivo mi naona wamemvumilia sana ...
analazimisha ugomvi yaani
ila jamani tuache ushabiki huyu jamaa anafanya siasa za ugomvi hata hivo mi naona wamemvumilia sana ...
analazimisha ugomvi yaani