Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

HATA KAMA WANGESEMA WAMEMFUNGUA MPAKA SIKU YA UCHAGUZI SISI WAFANYABIASHA, WATUMISHI WA UMMA, WANAVYUO TUNAOSOTA MITAANI PASIPO AJIRA RASMI, TULIOTUMBULIWA KWA KUONEWA, WASTAAFU WOTE AMBAO HATUJALIPWA MAFAO YETU, WANANCHI TULIOBOMOLEWA NYUMBA PASIPO KULIPWA HELA, N.K. RAIS WETU NI TUNDU LISU!
 
Safi sana, najua hapo anatafutiwa timing harafu wamle kichwa,mpuuzi sana huyu mgombea wetu,haiwezekanai ajione kuwa yeye yuko juu kuliko wagombea wengine.

Sijajua beberu wake Robert Amsterdam anasemaje,hii ni nchi kamili na guru hivyo kamwe hatayumbishwa na vibaraka wa aina ya kina Lissu

Hongera sana kwa tume ya uchaguzi.
 
Na asipojirekebisha anafutwa kabisa kwenye uchaguzi,Lissu asijiropokee hovyo akahisi labda serikali haipo au inamuogopa wala asijifanganye.
Morgan Tshivangirai alikuwa kama Lissu lakini mwisho wa siku alipigwa spana na kaiacha Zimbabwe hiyo inasonga chini ya Zanupf.
Hiyo zimbabwe chini ya zanupf wazimbabwe wanaishi Kama mashetani kuzimu na ndio CCM wanataka kutupeleka huko!
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...
JIFUNZE KUTOA TAARIFA SAHIHI
TITTLE INAJIELEZA HAPO, LISSU AMEFUNGIWA NA KAMATI YA MAADILI YA TAIFA
WEWE UNATUDANGANYA NI NEC
 
Kwa jinsi Zimbabwe maisha yalivyo magumu, ni juha tu kama ww anaweza kuandika huu utoto hapa jukwaani. Kwa taarifa yako, hata yale mashamba waliyopewa wazalendo uchwara Zimbabwe yanarudishwa kwa wazungu.

Labda anataka awe milionea . Zimbabwe wakati wa Mugabe ukitaka kununua mkate uwe na gunia la pesa. Ukinunua tiketi ya ndege uende na lori la noti .

Labda ndio anaona ndio maendeleo hayo
 
Na asipojirekebisha anafutwa kabisa kwenye uchaguzi,Lissu asijiropokee hovyo akahisi labda serikali haipo au inamuogopa wala asijifanganye.
Morgan Tshivangirai alikuwa kama Lissu lakini mwisho wa siku alipigwa spana na kaiacha Zimbabwe hiyo inasonga chini ya Zanupf.
Mpelekee Mzee Baba 'portable' AC injini imepata moto sana.
 
ila jamani tuache ushabiki huyu jamaa anafanya siasa za ugomvi hata hivo mi naona wamemvumilia sana, analazimisha ugomvi yaani
 
Back
Top Bottom